Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naombeni kujua kati ya WIZARA YA ELIMU NA TAMISEMI ni wizara ipi hasa ambayo inashughulikia ajira za walimu na usimamizi wa walimu kwa ujumla wake...!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wakuu,nina mdogo wangu kapata haya matokeo nataka nimpeleke upolisi pia sababu na yeye anaupenda,sasa anaweza pata nafasi?,na nianzie wapi sababu sijajua pa kuanzia.?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
msaada wana elimu,kwa anayejua please.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau tuxaidiane hapa,natafuta chuo cha private kinachotoa koz ya clinical medicine ambacho kitaanza masomo mwez wa april kwa ngaz ya certificate na diploma
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Nahitaji kujua shule za a level sayansi esp PCB au PCM nataka tumpeleke mdogo wangu preform v na hata ikiwezekana aendelee huko,nikipata hizo list niangalie ambayo wanafundisha vizuri na mfuko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ni barabara iendayo Shule ya Secondary Ndumbwe ambayo niya kutwa iliyopo Mkoani MTWARA halmashauli ya MTWARA VIJIJINI, imekuwa nikelo kubwa kwa watu wapitao barabara hiyo hasa walimu na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi yetu,swala la elimu lanzima tulipiganie wote,kila mtu kwa nafasi yake lanzima ajitaidi kufanya awezacho ili elimu yetu isonge mbele.Kwa sasa kinachofanyika ni kulaumu tu badala ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kitendo cha website ya open university kutokufanya kazi vizuri ni cha aibu sana, ni zaidi ya miezi minne sasa website hii inasumbua sana. ikumbukwe kuwa open university ina wanafunzi ulimwengu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini, Nataka nijiendeleze na ngumbaru kwa kidato cha nne. Kwa mipango yangu, nategemea kufanya mitihani ya kidato cha 4 kama mtahini wa kujietegemea mwakani 2015. Nimepitia matokeo ya baadhi...
4 Reactions
17 Replies
9K Views
TANGAZO TANAGAZO!!!! NAITWA ELIUD NDEWIRWA PALLANGYO(NI MWALIMU) NAFUNDISHA MWANZA, IDARA YA SECONDARY NINA TSD NATAFUTA MWALIMU YEYOTE MWENYE UTAYARI WA KUFUNDISHA/KAHAMIA MKOA WA MWANZA ILI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa. Serikali imetangaza kuwajiri walimu wapya 36,071 mwaka huu ambao majina yao yanatarajia...
1 Reactions
61 Replies
12K Views
nDUGU WAALIMU NAOMBA MWENYE MARKING SCHEMES ZA NECTA KWA MIAKA TOFAUTI TOFAUTI ANISAIDIE HASA KWA MASOMO YA BOOK KEEPING, COMMERCE, ECONOMICS & MATHS PLZ NISAIDIE NA GHARAMA ZITARUDISHWA!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Türkiye Postgraduate Scholarships program offer full funded scholarships to students all over the Word.This is Government sponsored Program. Scholarship programme included Islamic Theology...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye material ya project management yenye topic zifuatazo anisaidie 1.STRATEGIC HUMAN RESOURSE 2.PROJECT PROCESS,PLANNING& CONTROL 3.PROJECT SUSTAINABILITY ,MONITORING&...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwawale wanaotaka kusoma online bure na maswala ya scholarship tembelea HAPA
0 Reactions
1 Replies
944 Views
habari wanajukwaa la elimu.. Kama ilivyo ada sisi wanataaluma huwa na tabia ya kujuzana juu ya mambo tofauti tofauti katika kada yetu ya elimu. Leo ningependa kugusia suala hili la ranking ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka. Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa...
0 Reactions
44 Replies
23K Views
CWT(Chama Cha Waalimu Tanzania kimejaa usanii mtupu,natokeo ya kidato cha nne kila mwaka yanaporomoka na Katiba ya CWT inasisitiza elimu bora hali inazidi kuwa mbaya hadi serikali inajiongeza na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hallow Hemed, Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene Na Mgeni Aliye Simama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada!
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom