Jamani hivi mzumbe wanaona sisi huku Arusha hatuwezi soma hivyo vyuo vyao...tunahitaji masters za evening hapa Arusha jamani tunateseka na project management...kwa nini hawafungui tawi bwana
Naishangaa serikali yetu inakemea udini huku ikishindwa kuonyesha kwa vitendo, Morogoro university ni chuo cha waislamu kama vilivyo vyuo vya wakristo kama vile SAUT,TUMAIN,JORDAN,ST.JOHN,IRINGA...
Habar yenu wakuu humu jf nakuja na kuulza kwa wazoefu na vyuo vya techniqual college kama mist, na dit hv n kwel huwa wanarudisha wanafunzi nyumbani na n kwa mambo gan yanayosababisha hlo?
wadau
katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu
hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only
God knows it.
Maendeleo ya nchi na jamii yeyote hutegemeana na kipaumbele katika taaluma ya ualimu. Hu ni ukweli usiokubalika kwa nchi nyingi za kiafrika lakini kwa nchi zilizo endelea kama Marekani na...
Napenda kutoa taarifa hii kwa TAMISEMI kwamba mpaka wakati hatujui kwanini majina yetu hayaonekani kwenye orodha, au kuna mengine bado hayajatolewa?wadau mwenye inf. naomba atujuze humu jf.
Leo nimemshangaa jamaa mmoja tukiwa kwenye dalalada la ubungo gongo la mboto kavua shati la rangi ya kijani kwa madai kwamba anaogopa kupigwa na wapinzani wa ccm kwakuwa kavaa rangi ya kijani kila...
Kwa muda wote ambao serikali imekaa kimya na kubaki kukomalia kauli za kisiasa kuhusu ajira za walimu tofauti na miaka mingine sipati picha kama bado kutakuwa na kero katika halmashauri kwa walimu...
Bila kuwakatisha tamaa walimu wapya watakaoanza kazi mwezi ujao kwa kweli serikali inatakiwa ifanye juhudi za haraka sana sana kuokoa nchi yetu.
I have tried to do a small analysis of the...
Huyu Mheshimiwa amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa biashara ile kongwe kuliko biashara zingine ya Umalaya ihalalishwe ili kuongezea mapato halmashauri ya wilaya ya Kinondoni.
Ni ukweli...
Aaron Parfitt organised protest over concerns about standards of teaching
He led 100 pupils at Bispham High School in Blackpool on a mass walkout
Teachers were unhappy and banned him from...
Karibuni wadau mliosoma ama ambao bado mnasoma Telecommunication Engineering, Lets us share ideas
What are the main causes of FAST FADING and SLOW FADING, and when we are dealing with these two...
Jamani hebu tukumbushane yale mambo mazuri yaliyokuwepo nyakati zile pamoja na changamoto tulizozikabilina nazo kama kufuata kuni pori,kubeba jembe ,na sahani,fyekeo,siku ya jtatu ,kukimbia...
Anayeitaji vitabu
Business Mathematics&Statistics-sixth edition by Andre Francis
Management&Cost Accounting-sixth edition by Colin Drury
Bei ni tsh 20,000 na 30,000 respectively napatikana...