wenzangu wa jamii forum nadhani mpo salama
naombeni mnisaidie kunipa muongozo wa kazi ninazo weza kupata na bs science degree ya IT na pay yake inaweza kurange vipi
Mimi ni mwalimu wa shule ya sec , new niko Wilaya ya Busega .Kama kuna mtu anataka tubadilishane kutoka Wilaya ya Misungwi kwenda Wilaya ya Busega call 0719103278
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza...
Hivi GPA ya mwisho(unayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta...
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza...
Habari wakuu,
naomba kujuzwa anayefahamu sehemu wanayotoa mafunzo ya kareti kwa hapa Dar es salaam, mimi naishi Tegeta, na kama sehemu ikipatikana naomba kujuzwa pia kiasi cha hela kinacholipwa...
Hivi GPA ya mwisho(inayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta...
Wakuu tusaidiane hapa kdg, mm nna mishe za kusoma sjuit arusha campus coz ya B.ed kwa mwaka 2014-2015.Sasa sijui masomo wanaanzaga mwez wa ngap na nimeapply kutoka chuon kabisa.
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya...
leo,mnamo saa tano asubuhi, tume ya uchaguzi ilianza mchakato wa kuwapata wangombea wa kiti cha urais, katika serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani, mwenyekiti wa tume...
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
Wasomi ebu nisaidieni kwanza jibu la hilo swali hapo chini ikibidi npe na sababu kwa nn unafkiri jbu lako kuwa ni sahihi,,,,,,,
She performed ___ the cultural programme that day.
(a) on
(b) at...