mwaka wa kwanza hawahesabu udsm.wanaanza wapili.NOTEHivi GPA ya mwisho(unayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta average