Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Huitaji Hata cheti cha form 4 kujua jambo hili, Computer Programming make this easy, Jaribu kupata Picha ATM mashine inavyo kagua kadi yako, na kujiridhisha kama ni feki au halali kasha inaamua...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Habari, samahani jamani ninatatizo ambalo limenikabili ninaomba msaada wenu, nina mdogo wangu alifanya kidato cha nne mwaka 2005 akapata division 4 ya 33, nilimwambia arudie hakutaka akaenda...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
hivi jamani mwaka huu wale walioomba kufanya mtihan wa mature age pale arusha technical college (a.t.c) utafanywa au la?
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Kuna wimbo nikiusikiza najisikia vibaya pale anaposema ualimu na upolisi ni kimbilio la waliofeli,sa hivi hii kauli ni ya kweli.Roma Mkatoliki
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana jamvi naomba msaada kwa mwenye research proposal juu ya mambo ya marketing anisaidie tunaweza kuongea pia jinsi ya kucompasate???
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na tangazo la wizara kuhusu ualimu naomba mnijuze ni sifa gan ambazo zinatakiwa kujiunga na mafunzo kabilishi ngazi ya chet? na je wengine inabid waombe direct ualimu grade A.?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni msaada namna ya kupost barua kwanjia ya EMS
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jaman wana Jf,mimi ni mwanafunzi mhitimu wa kidato cha nne 2013 Kutoka shule ya sekondary Ilemba(shule ya kata) Bonde la sumbawanga mkoani RUKWA!Nimepata division II-18,Nilifanya uchaguzi wa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Msaada tafadhali
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Post deleted by author!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ambaye anafahamu kama wizara ya afya wametoa fomu za mafunzo ya afya kwa ngazi ya cheti na diploma naomba anisaidie zinapatikana wapi
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafanya wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale waliosoma Usagara secondary school zamani ilitambulika kama karimjee, pitieni hapa tusalimiane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Computer Science vs Sociology vs Business Administration. Course gani kati ya hizo ni more marketable, yenye future nzuri na bila kusahau maslahi mazuri. Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Naomba yeyote anayeijua program/software inayotumika kuandaa ratiba ya vipindi vya masomo na mitihani katika vyuo au shule kubwa, anitajie tafadhali. Pia upatikanaji wake...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zimebaki takribani km cku 15 vijana kidato cha sita nchini kote waanze mitihani yao ya mwisho, ni wao pekee watakaohukumu future yao ktk maisha ya kitaluma.Ungana nao kwa maombi mbele za Mungu wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu heshima mbele.Katika kupita pita kwangu nimekumbana na swali likinitaka nieleze uhusiano wa Histone na mRNA na nieleze kwa nini Histone haina mkia wa Adenylate Polymer kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Junior students (forms III & IV) and senior students (forms V & VI) from any recognized secondary schools in Tanzania are invited for a contest to test their aptitude in mathematics. The contest...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Hv juz wakati walimu wapatao 150 waligoma kuondoka katika ofisi za halmashauri ya manispaa ya Bukoba KWA kile walichodai kuwa wamechoshwa na dharau PAmoja na dhuluma inayofanywa na wahusika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…