Wakuu tangu tarehe 23 wale tunaoendelea kuomba mkopo kwa mwaka ujao inahitaj paswd.
Sasa hyo paswd ndo ngoma nzito.katika recovery ya paswd ndo usiseme.ambaye ameweza atwambie.
Habari wanajf.
kumekua na mijadala mingi sana kuhusu ni lugha gani inafaa kufundishia watoto mashuleni.malalamiko mengi sana yamekua yakilenga kua wanafunzi wanapo hama kutoka shule ya msingi...
Wakuu wahanga wenzangu tuliokosa ajira za uwalimu awamu ya kwanza natoka Tamisemi ya hapa Dar kwa information nilizopewa yatubidi tuwe wavumilivu kwasababu sijapewa matumaini yoyote labda...
Naomba kupata msaada kwa anaejua nini kinatakiwa kufanyika baada ya mwanafunzi kupata matokeo na yeye anataka kwenda kusomea ualimu... je upi ndiyo utaratibu, je unaanza mwezi ngani?
naonge kwa machungu sana kuona kwamba halmashauli ya jiji la mbeya walimu wapya mpaka leo hawajapata mishahara yao kama ilivyotegemewa hapo awali kama tanngazo la tamisemi lilivyotangazwa hapo...
wapenzi wana jamii forum naomba mnishauri nataka kusoma fani za afisa afya(environmental health officer)na afisa tiba(clinical officer) kote nimepata nafasi je mwenye uzoefu ipi fani bora na nzuri...
Ndg zangu waalimu,
Ni juzi tu tumesikia kwamba serikali imeandaa zaidi ya billioni 1 na mil 60 kwa ajili ya kuhakikisha Tundu lisu haungani na UKAWA katika jitihada zao za kulikomboa taifa hili...
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo...
Nimemaliza diploma of Business Adm..Nataka nijiunge na OPEN UNIVERSITY,je ni sifa gan ninatajiwa kuwa nazo ili niweze chaguliwa kujiunga na OPEN UNIVERSITY kwa ajili ya masomo ya degree?
Jamani naombeni msaada wanajamvi kwa Program Bsc of Computer engineering and Information Technonlogy tution fee halisi ni shilingi ngapi?Maana kwenye TCU guide book ya 2014/2015 ada ya hyo...
Nimepata marks hizi kidato cha nne mwaka jana.Chem c,Bios B,Englsh B,Kisw B,Math C,Civics C,Hist C,Geography C na phy D,Vip naweza chaguliwa technical college kwa direct entry.Nilijaza 1st choice...
Halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga imefanya kitendo kibaya kwa walimu wa ajira ya mwaka 2010 grade iiiA , imeletewa walaka wa kuwalipa walimu fedha yao ya nauli na mizigo lakini haikuwalipa...
Habarini????
Napenda kufahamishwa wadau ndugu yangu ambae ni mwalim amehama kituo kimoja kwenda kingine kwa kuomba uhamisho, je anaweza kulipwa fedha ya usumbufu?
Kwenye kituo alichohama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.