Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naombeni mnisaidie uratibu wa kufuata wa kuhama shule. nimechaguliwa kwenda songea lakini kiaya ni uwezo wa,wazazi sintoweza kupamudu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza kitabu cha Chemistry. CHEMISTRY INTERNATIONAL BACCALAURATE. By John Green & Sandru Damji Mawasiliano 0768594367, 0716488632 husseinmushi8@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Wanafunzi wengi walopata alama za juu hasa madaraja ya kwanza wanalalama kuhusu posti zakujiunga nakidato cha tano
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wa elimu, kuna wazo linanijia... Pamoja na kujengwa shule nyingi za sekondari Tanzania, bado idadi ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba/kidato cha nne na kukosa nafasi ya kidato cha...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni sare tu wanazovaa watoto wa chekechea.
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Wanajmvi ! Msaada wako hapo ! Hatua zipi zakufuata ili Kubadilishiwa shule ! PCB ------------ update ------------ NIMEPATA TAARIFA KWAMBA NI COMBINATION MPYA ! KTK SHULE HIYO !
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo ni siku ya furaha kwangu na kwa wanasua wote kumpata kiongozi tunayemwamin,mtunayempenda ,tuliyempa dhamana ya kuwa rais katika chuo chetu. Kumbuka sera zako ahadi ulizo wahaidi wanasua...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Nashangaa waziri amezishupalia shule za binafisi, zenu zimewashinda sasa mnataka kuziharibu za binafsi, thhis will not be accepted. Mmepanua milingoti ya goli, magoli yameingia mengi mmeshindwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama mnavyojua jamaani mwezi huu ni mishemishe za kuomba nafac kusoma elimu ya juu pamoja na mkopo!naombeni mnijuze kozi zenye "loan priority" pale NIT!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana Jf...Baada ya kampeni za urais zilizodum kwa takribani wiki moja, leo ndo siku ya upigaji kura. Ni faraja kubwa kwa wanaharakat wenzang hapa chuon kwan kuna misururu mirefu ya wapiga kura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naombeni kuuliza shule nzuri ya private ya comb ya CBG pamoja na ada yake na mawasiliano MSÀADA TAFADHALI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nimepata shida kuchambua mchango wa wasanii wa bongofleva katika maendeleo ya ushairi wa kiswahili, Katika nyanja za kimaudhui, na hata fani yake. Je umeongeza mambo mapya katika ushairi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TCU
Jaman eti saiv hakuna kuchek"eligibility"kama ilivyokuwa last year?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie shule nzur YA private ya advance ktk mikoa ya ruvuma,njombe na iringa..ktk kombe la (HGE) nataka nimpeleke mdogo wangu..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimechaguliwa miono high school PCB tafadhal mnijuze kuhusu miono sec kwa ujumla mnao ijua academically-nk
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Nimechaguliwa shule ya same boys high school comb ya PCM......Naomba anayeifahamu mazingira yake anijuze tafadhali
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari Wakuu! Naomba kwa anayejua juu ya hii kozi huwa inatolewa kwa degree kwa vyuo gani vingine hapa nchini mbali na Mzumbe university, Pia kazi zake ni zipi baada ya mwamafunzi kumaliza...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kwanza naanza kwa kuwtakia hali pia kwa ushirikiano wen mzur wana JF.mimi nlkuwa napenda kufaha vitabu vpi vinahitajika vya HGE na mwandishi wa icho kitabu na edition mwaka msaada kwa anaye...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu nipo kwny hali mbaya mno yan ndo nakuja kujua juz mwisho wa kupeleka application form ni 20 june hlf shule walim hawapo(shule imefungwa) nimeongea na academic master kanizingua sasa cjui...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kwa wanao jua Hivi kuna uwezekano w komba kubadilisha shule uliyo chaguliwa?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom