Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba anayefahamu Shule ya chekechea ya bweni na gharama zake anijulishe ambayo iko katika mtindo wa medium Tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow wana JF, hope wazima. Nahitaji kachukua course ya interior designer. Kwa sasa hivi niko Dar es salaam na ningependelea chuo nikupate Mwanza ila sikijui hata kimoja, lakini kama ntakusa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba mnijuze haraka ili niende huko mjini nikayaone maana niko bush.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau polen na kaz..mdogo wangu amehtmu form4 2012 alipata dv4 points 26 sasa anahtaj asome kozi za afya.. civ_D hist_C kisw_C eng_D geo_D bios_D chem_D b/math_F Je! kwa matokeo haya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mtu mwenye contact za shule(simu) au anayefahamu kuhusu joining instruction ya shule hii please. aniambie
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Jamani naombeni mnifahamishe kama ni kweli inatakiwa kubeba results slip shuleni ili upokelewe ama la!mana sielewii
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Dah hayo yamejiri kwene miongoni mwa form za kujiunga na shule flani hv.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forum.mimi ni kijana ninayesoma Minaki high School,dar es salaam kwa combination ya PGM.nilikuwa naomba kujibiwa swali langu kuwa,mtu anayechukua PGM and then labda akafeli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Once I attempt to download certain apps in my android I always experience failure message "Your content-filtering does not allow you to download this application" I have checked the "unknown...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Niaje wadau,nacte wameachia selection awamu ya kwanza.lkn kwa baadhi ya profiles za waombaji zimeandikwa"selection still in progress pls b patient..na ktk current status pameandikwa "PS"ina maana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania Revenue Authority (TRA) Despite complaints by private school owners regarding the multiple taxes imposed on them, the Tanzania Revenue Authority (TRA) has directed them to continue to...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM tarehe 05/04/2014 kitamtunuku Mhe. Freeman Mbowe shahada ya heshima yaani Honorary Doctorate Mhe. Freeman Mbowe kwa kutambua mchango wake wa kukuza demokrasia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
nipo wilaya ya nzega idara ya msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi aliyeko ARUSHA,MBULU,KARATU,AU MANYARA anitafute kwa NO. 0758405749 au Grolyshayo@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Huu utaratibu mpya wa kujiangalia mwenyewe umepangiwa chuo gani uliowekwa na tcu unaanza kutumika lini,baada ya deadline ya application?
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Shule imeanza Jana jumapili, Asubuhi (saa nne-saa saba): Tumepiga corporate reporting (IAS 16- PPE) Mchana (saa nane- saa 11): Tumepiga perfomance management...introduction Msichelewe wadau...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeipata kutokakwa Mdau CANDIDATES WHO FAILED MODULE E , A candidate who failed Module E under the phased out syllabus shall be required to sit and pass the following papers in order to be...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni mnijuze tetesi ya matokeo kidato cha sita 2014 yanatoka lini? na adi sasa tetesi za matokeo zipoje? ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa anayejua kuhusu hlo wakuu.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wakuu namtafuta mwl paul mwita mara ya mwisho alikuwa kahama.anayemfahamu naomba amfikishie ujumbe0788628489.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeingia kwenye facebook yao naona watu wanapongezana kwa kuchaguliwa kupata vyuo je kuna mwenye uhakika naomba tujulishane
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom