Nakumbuka Tambaza ni moja ya shule zilizokuwa zikiongoza kwa kufanya vizuri sana kwenye mitihani ya Necta. Lakini hili la kusikia Tambaza ikiwa ni miongoni mwa shule kuni zilizoshika mkia...
ushauri wakuu, nasoma udsm , master nimelipa ada 3/4 bado 1/4 nimezuliwa kufanya final exam na kulazimishwa kuandika barua ya kuomba special september, na cna matarajio ya kupata iyo robo till...
Habari Zenu Wana JF Matokeo Ya BRN Ndo Yashatoka Sasa Nawapongeza Wote Waliotopoaa...
Ni Hivi Kuna Dogo Langu Hapa Alikua Anasoma PCM amepata III-11 Na Kwenye Combination Kapata CBC..Sasa Wadau...
Hii obLique photograph bila shaka, swali ni kwamba je ni high oblique au low oblique???
Anaejua tafadhali coz imeleta utata kidogo hapa nilipo!
Natanguliza shukran
Sent from my iPhone4 using...
Jeshi la kujenga taifa nchini (JKT) limetangaza majina ya waliohitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti mwaka 2014 wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo.
Kwa taarifa zaidi, pamoja na kuona...
Its never too late kujifunza kupiga chombo cha mziki, nimeona watu wana play instruments zile emotions zinavoflow, nahisi ni njia moja wapo ya kujitoa stress na kurelax, au ile unamuimbia hata...
nimechoka kupata pesa za majungu kutoka loan board coz pesa zenyewe haziji kwa wakati maisha yanakuwa magumu....baada ya kupima vyote sasa sitaki mkopo tena na nataka kujitoa....naomba mnisaidie...
hivi punde tumeshuhudia matokeo ya mitihani ya kidato cha sita lakin cha kushangaza ndani ya shule kumi bora, shule za vipaji maalum hazionekani na zaidi ya hayo tumeshuhudia uwepo wa shule ya...
Salamu wana JF. mimi nauliza hivi wale waliosoma zile shule za vipaji maalumu. wamelitendea nini taifa la Tanzania? maana walifundiswa na walimu wazuri, mazingira mazuri yaani maktaba, maabara...
1. A Printer
2. A Tablet
3. Expensive Bedding
4. An HDTV
5. An Iron and Ironing Board
6. Clothes
7. A High-End Laptop
8. A Mini Fridge
9. An External Hard Drive
10. Smartphone
Wana JF salaam,
Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters...
wana jf mm nimemaliza kidato cha nne 2013 na nilikua niko mchepuo wa science.nilifaulu masomo mawili na moja nikapata D ila post zilivyotoka nimechaguliwa comb ya arts hgk..sasa cjui chochote...
Tuache utani...CWUR 2014 | Top 1000 Universities
Katika vyuo Kumi bora duniani hakuna chuo hata kimoja toka Africa, South America au Asia. Chuo cha kwanza toka Asia ni #13 Japan.
Katika vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.