Habari zenu
Naomba msaada kama hili jambo linawezekana nlipatiwa mkopo na nakautumia mwaka wa kwanza na baada ya hapo nmebadilisha kozi na sahiv nipo tena mwaka wa kwanza nataka niombe mkopo...
It is incredible, hope you will be inspired. According to wikiepedia he has 61 honorary doctorates. Read more for yourself
- 1 -
CURRICULUM VITAE
BENJAMIN SOLOMON CARSON, SR.
Current Appointments...
Katika vyuo binafsi maswali yangu ni
Je nikisoma kuanzia ngazi chet hadi diploma na kuendelea, ajira zake hazisumbui?
Je unaweza ukajiajiri mwenyewe kama hautaki kuajiriwa?
Field na ugumu wake?
Nina mdogo wangu(msichana) amemaliza form 2012 katika masomo yake alipata D isipokuwa Maths alipata F na hivyo kushindwa kuendelea na kidato cha tano. Nimekusanya vijisenti nataka kumpeleka chuo...
kwanza nawasalimu wote!
kichwa cha habari cha husika!
Ningeomba msaada wenu kuhusu taratibu zakupata hizo nafasi kusoma katika nchi tajwa,mahitaji ya applications pia ningependa kujua...
Kama unasubiri kuajiriwa sekta ya ualimu jiandae kwa mambo haya;-
1.kupata pesa ya kujikimu pindi unapolipoti kituoni(wilayani)
2.Kupangwa mazingira ya vijijini sana ambayo hata usafiri na...
Jamani nina Mwanangu, nataka kumpeleka Cannosa High School. Please naomba anayeifahamu hii Shule
anipe taarifa zake Kuhusu A-level .
Je wanatoa masomo ya Science A-level? , mwanangu anataka...
Ndugu WanaJamiiForums,
Nnaombeni msaada kwa anae jua sifa za kujiunga na form five na six kwa matokeo ya mwaka huu ya BRN big result now maana yananichanganya.
Wadau kwa anae jua naomba ufafanuzi.
OFFICE OF THE DEPUTY RECTOR ACADEMICS, RESEARCH AND CONSULTANCY
ADMISSIONS FOR UNDERGRADUATE AND POSTGRADUATE COURSES FOR ACADEMIC YEAR
2012/2013.
The Institute of Finance Management (IFM) is...
kwa anajua shule nzuri ya udereva kwa dodoma atujuze maana kuna vijana wawili wanatakakujiunga ila hawajui ipi shule bora kwa dodoma? maeneo gani na gharama zao? pia mawasiliano kama yapo muhimu
habari zenu..
naomba msaada kwa mtu anaejua mahali au website ambayo naweza pata scholarship bachelor in international relations...
naitaji msaada wenu...ASANTENI
Wadau nitajiunga na Diploma ya uendeshaji wa Biashara pale CBE.
VVipi hesabu zake maana nina credit.7o.level lakini sina background nzuri ya maths. Vipi marketing?
Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie, ni vyuo gani ambavyo mtu anaweza kusoma masters in accounting and finance south africa lakini pia hata kwa professional accountant.
Kama unafahamu...
wanafunzi wa shahada ya Uzamili - Kiswahili wa Chuo Kikuu cha Dar wapo mbioni kufungua kesi ya kikatiba katika mahakama kuu dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa kuzuia uhuru wa kutoa maoni/kujieleza...
Ndg wanajamvi naomben mnielekeze jins ya kutuma maombi ya teaching z coz zaman walikuwa winaomba kwa katibu mkuu wa wizara ya elimu na sijajua kwa sasa unatuma wap jaman Mnisaidie mwenzen
Msaada,
Kwa hapa Dar es Salaam, ni vyuo gani ama Training center vinatoa Advanced diploma ama Bachelor ya Network Engineering, tofauti na St Joseph na Unique academy?
Na ada yake isizidi 2.5 Million
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.