Naiandika hii ppost kwa sababu nimeona kuna uzi wa "nifenyeje wanangu wawe na akili darasani"
Kwanza kabisa niseme nyumbani kwetu hili lilikuwa ni tatizo kwa watoto wote labda kasoro kwa mdogo...
Habar WanaJF. Naombeni msaada juu ya hiyo course inahusu nini, waweza ajiriwa Kama nani, soko lake ajira na je, ni chuo gani kiko vizur kwenye hiyo course Kati ya NIT & SAUT. Maelezo zaid namba...
Je, ipi ni kozi bora na mzuri kati ya bachelor of economics and finance na bachelor of banking and finance
Na ningependa kujua kozi hizo zinatoa kazi gani. Yaan ukisoma kozi mojawapo ya hizo...
Habari,
Nina mtoto wangu anatatizo la kuzungumza naomba kwa mwenye uwelewa wa zile shule zinazo wafundisha gharama zao na zilipo tafadhari mtoto yupo KISAKI MOROGORO msaada jamani maana anazidi...
Habari wanaJF
Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP), ni kitu gani? wahusika ni wapi wanatakiwa kusoma? kuna faida zipi ukisoma na hasa kwa muajiriwa wa...
Wasalaam wakuu......
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza waungwana naomba kujuzwa Ada kwa vyuo vikuu vya serikali ni kiasi gani kwa undergraduate degree program yaani ile tunasemaga digrii
Kipindi cha awamu ya chuma,jiwe tulishuhudia huduma bomba sana kwa watumishi wa umma ngazi zote, kuanzia chini hadi juu, ila baada ya kuondoka inaonekana kaondoka na vyote mapanya buku yametawala...
Habari Wakuu,
Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure?
Chuo kisiwe kanda...
Habari za leo wakuu,
Nahitaji kujua GPA ya diploma inaishia ngapi? Maana najua ya Bachelor inaishia 5.
Napia mtu anaye pata GPA ya 2. 6 kwa Diploma uwezo wake ukoje?
Nawasalimu kwa salamuu ya jamuhuri
Humu ndani naona watu mnawatisha watoto kuhusu GPA sikuhizi GPA kubwa zimebebwa na vilaza ambao wengi wao wamenunua mitihani kwa walimu wale, ambao wanatumia...
Ndugu wadau, nilitaja kujua combination ipi kati ya PCB na PCM ukifauli inaweza kukupa uwanda mkubwa wakusoma course nzuri huko mbele za safari baada ya form six.
Asante sana.
Suala la mtaala mpya kidato cha tano 2024 bado ni mkanganyiko lipi tamko la serikali juu ya hilo.
1. Kuna baadhi ya shule walishapewa semina juu ya utekelezaji wake lakini shule zingine bado.
2...
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable...
Habari za Uzima Ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena.
Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary"
Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !?
MUNGU AWABARIKI.
Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo...