Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya...
Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili...
Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata
1: Bachelor of Arts in Economics
-Ardhi university
2: Bachelor of Economics and finance
-IFM
Nilisoma HGE ufaulu wangu ni...
Kwa wanaojua kwani Inawezekana mtu kusoma vyuo viwili kwa mara moja mfano;upo degree chuo x ila unafanya application na kujisali level ya certificate au diploma chuo y
Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi...
Wakuu habarini za jioni, poleni na hekaheka na mihangaiko ya siku..
Samahani naomba wajuzi mniambie je inawezekana kwa mtu aliechaguliwa chuo mfano amechaguliwa TIA campus ya Dar es salaam...
Habari zenu waungwana.
Nmeapply kozi ya computer systems and networks katika chuo Cha ardhi kwasababu napendelea sana ujuzi wa maswala ya computer. Je hii kozi inajitegemea, haihusiani na...
Habari,
Wakuu nimemaliza Diploma na leo matokeo yametoka ya kuingia Bachelor matokeo yangu ni yafuatayo.
Semester ya kwanza nina GPA 3.0 na Supp,
Semester ya pili nina GPA 2.4 na Supp, Sasa vipi...
WANAVYUO TUSIISHI KAMA HATUTAHITIMU.
Zama zimebadilika sana kiasi kwamba muhitimu wa chuo wa sasa ni kawaida kukaa nyumbani zaidi ya mwaka akisubiria ajira ambapo kipindi cha miaka kadhaa ya...
Moja ya mambo yanayosumbua ni mtu kufatilia upatikanaji wa cheti chake, either cha form four au cha form six. Sasa kuna watu wamesoma mkoa wa tofauti na makazi yao. Mfano, mtu amesoma Dar lakini...
Naomba nikueleze ukweli wako.
Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana.
Naamini ulimfundisha tafsiri ya...