Comrades and fellow members here are some tips you should know;
Top of Form
Bottom of Form
How to Write an Essay
This concise guide to writing an essay by PhD Professor...
Ni awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509
Mikopo yao ina thamani ya TZS 70.78 bilioni
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Septemba 28, 2024) imeanza kutangaza...
Wakuu karibu tujadili.
Sahivi Kuna sera mpya ya Elimu, na imepitishwa na serikali, na katika sera hiyo, Kuna mabadiliko kwenye eneo la walimu.
Katika sera mpya Ili ufundishe Sekondari ni lazima...
1. Proceed from simple to complex
2. Proceed from known to unknown
3. Proceed from part to whole
4. Proceed from particular to general
5. Motivate learners to learn
6. Do not teach in isolation
7...
Nimejaribu kuzura kuangalia matokeo kwa shule mbalimbali nikilinganisha.privaye schools na kayumba napaa wasiwasi hujuma inafanyika kuzipa promo private schools.
Kwa kweli Matoleo ya ovyo mno...
Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020.
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati...
Habari zenu,
Chinese Government Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa undergraduate, masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu...
Tusaidiane kuhusu Masters of Educational Management and Administration NA Masters of Education in Administration, Planning & Policy Studies M. Ed (APPS)
Wakuu naomba kufaham kwa yeyeto ambaye amepata tetesi au anajua ni lini PDF la usahili wa ZIMAMOTO linatoka.
Dogo langu aliomba nafasi sasa ila Siku zinasongea hatuoni mrejesho.
Mwisho japo si...
Habari wakuu, naombeni kuuliza;
Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje?
Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula...
Ni shule Gani ya msingi (English medium)ambayo inafundisha kiingereza na kifaransa au kiingereza na kichina Kwa mkoa wa Dar es salaam wilaya ya ubungo?Au hata kinondoni?
Wakuu habari za saa,
Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa Kozi ya clinical dentistry .
Katika utoaji wa mkopo Kozi yangu pia ni moja ya kozi iliyopewa kipaumbele kupata mkopo ngazi ya diploma...
jamani wadau kumekuwa na hii kozi (BED ECE) inayotolewa na baadhi ya vyuo hapa nchini kama udsm, udom na sekomu. Inaonekana haina mda mrefu toka ianze kutolewa.
Naomba kujuzwa zaidi kuhusu hii...
Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia...