Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za asubuh jamani..? Naomba mnisaidie hivi kwenye majina ya waliokosea vitu vidogovidogo kwenye kuomba mkopo zile namba mwanzoni zimekaaje ni za form four au? Nisaidien
0 Reactions
3 Replies
812 Views
Habarini wana jf Just wanted to know kama vyuo vyote vya afya ikiwemo muhas tayar majina wameyatoa
1 Reactions
4 Replies
1K Views
TAARIFA KWA WANAFUNZI WALIOOMBA MKOPO 2016/2016. kumekuwa na taarifa zisizo rasmi juu ya utolewaji wa majina ya wanafunzi waliokosea kuwa yameshatolewa ila naomba niwekr sawa.bodi ya mikopo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye selection Za vyuo hivyo Za first barch anitumie
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Majina ya KCmC vepeeeee, mpaka Yesu arudi
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie nataka ni update Marshmallow hios kwenye tecno c5 nifanyeje.
0 Reactions
1 Replies
529 Views
Nimemaliza degree ya computer engineering Lakin moja ya ndoto zangu ni kuweza kupaisha ndege. Sasa nataka kujua kama Kuna chuo chochote cha urubani Tanzania kinachotoa walau short course za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wana jf kwa walio omba second round chuo cha Mum watembelee maswa yetu blog kuona majina yao
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Muhas awaeleweki mpaka muda huuuuu..
0 Reactions
1 Replies
951 Views
<<Click this link for more information >>
1 Reactions
4 Replies
873 Views
Habari zenu wanajamii, Mimi ni mwalimu nilimaliza form six 2010 nikiwa na Physics S, chemistry S na Hesabu D. Nilirisiti 2014 Physics na Chemistry nikapata PhysE na Chemi D, Sasa je naweza...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Wana JF naomba kuuliza ubora wa ma lecture wa hiki chuo maana nasikia ni mmoja anaye hold PHD
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale waliopo chuoni mwaka wa 2, 3 na kuendelea... kipi bora kumbeba mwaka 2 au 3 au kuishi peke yako? UDSM alumni mtakuwa mnanielewa sana, nahitaji maoni yenu.
0 Reactions
0 Replies
450 Views
habar wadau, jaman mwenye joining instruction ya technician cert in primary education mount meru univ anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu. nauliza kwamba nikichelewa kuripoti chuo wanaweza wakanirudisha? maana kwenye joining instruction wamesema *your chance is given for two weeks only* sasa nkiangalia direct cost ni...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Saut mwanza mnakatisha tamaa bana,achieni majina tujue cha kufanya
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Back
Top Bottom