Msaada wa ufafanuzi utumaji wa bidhaa (nafaka) nje ya nchi...

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari za jioni wapendwa, kwa heshima na taadhina ninaomba mchanganuo na ufafanuzi kwa mtu mwenye uelewa juu ya utumaji wa bidhaa ,
Ninaadhimia na kupenda sana kupanua soko langu langu la Nafaka mfano MAHARAGE, MCHELE, KUNDE,MBAAZI .

MAHINDI.n.k

Katika nchi mfano South Africa, Dubai au nchi za EAC

Naomba msaada kwa yyte anaefahamu au kujua namna yyte , au mwenye experience ata kama yupo katika moja ya nchi nilizo zitaja naomba sana uni PM au pia kwa faida ya wengi waweza ainisha hapa

Asante kwa umakini wenu, watu wa Biashara.
 
Back
Top Bottom