Mkuu....kuteka tension kwenye blog inahitaji nguvu kubwa mithri ya kuchizika kimtandao...usifuate blog zenye mambo ya ngono fuata yale unayopenda wewe hakikisha unaandika post nzuri ukizisindikiza na picha....vile vile unatakiwa upost atleast post 5 na kuendelea kwa siku...usisahau kufungua page au account kwenye mitandao mingine ambayo utaitumia kupost link za post za kwenye blog hii itasaidia sana kuwaleta watu kutoka huko kwenye mitandao mingine kuja kwenye blog yako. Mfano umepost habari kwenye blog chukua link ya hiyo habari nenda kapast kwenye wall za mitandao yako....hii itawaleta marafiki zako kwenye blog.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.