Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wanajamvi na wasalimia wote.. Wanajamvi naombeni kunitajia supermarkets zote zinazopatikana dar na hitaji la kuwafikia pale walipo kwa hitaji la kuweza kufanya negotiations na kusa ply kwao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua sifa na procedure za kusajiliwa na TRA kama Tax consultant.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Na, Mwl.Pasaka Osunga Leo ningependa kukumbusha msemo ambao Ken Levine aliwahi kusema-“We all make choices, but in the end our choices make us.” Akimaanisha kuwa wote tunaweza kufanya maamuzi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
0 Reactions
1 Replies
587 Views
Asalaam aleykum! Wanabodi kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu,mimi nina kazi lakini siku zote mshahara hautoshi kwahiyo nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali.Kwa mtu yeyote ambaye ana friji...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Manages sales, purchasing, hr, payroll, , assests, bank reconciliations, appraisals, multiple POS points, financial reports. The software can be customized to fit your business needs. Contact us...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nimesikia baadhi ya Wabunge wakipongeza Wizara ya Nishati na Madini kwa kushusha viwango vya kuunganisha umeme. Naomba kwa yeyote mwenye viwango vipya anipatie tafadhali. Hii itatusaidia kwa...
0 Reactions
27 Replies
22K Views
Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish AUS200 started September on a bearish note, but ended it on a bullish note. From September 1 to 13, the market dipped by 2500 points from. Since then, the market...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
naomba kama kuna anaeifahamu anijuze tafadhali
0 Reactions
2 Replies
769 Views
POlen kwa majukumu wakuu. Ninahitaji kuanzisha biashara ya oil (Engine oil) za pikipiki. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya upatikanaji wake kwa maduka ya jumlaanisaidie na wapi naweza kununua...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar wanajamvi, Nipo dar na ndio nimeanza kaz nimedunduliza nimepata 1m. naombeni mnishauri biashara ambayo italingana na huo mtaji pia haitahitaji ungalizi sana maana nachelewa sana kutoka kazini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu heri ya mwaka, nimepata huo mtaji na ninawaza kwa mkoa wa Dar es Salaam ninunue bajaji ama kirikuu. Naomba wazoefu na pia wenye uelewa juu ya hili; 1. Je, ni ipi itanilipa vizuri? 2. Je...
1 Reactions
54 Replies
16K Views
Uchumi wa Kati tutaufikia, Usafiri wa muda mfupi kwenda mwanza na Arusha unafanya biashara na kurudi Dar siku hiyo hiyo. Hapa kazi tu .
7 Reactions
90 Replies
17K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bearish Gold is bearish in the short-term, but neutral in the long-term. In the 4-hour chart, price trended downwards last week, to end September 2016 on a bearish...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Mfano wewe ni mjasiriamli na unataka kuuza bidha nje ya nchi kwa kutumia hii mifumo miwili ya malipo wa kwanza wa paypal (ambao ni third party) na mfumo wa moja kwa moja ambao mtu anaingiza...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
kumekuwa na tabia mbaya sana premier bet arusha ofisi ya Philips,,,unakuta mtu mfano amebet mkeka wake ameshinda laki mbili ukiondoka kwenda kufata mpunga wako hapo ndio kero inaanza..utaambiwa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
I want to believe that you had a wonderful weekend.But I'm glad you're reading this... Because it means that you still have time to check out what's happening into new and hot Tanzania's oil...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Wakuu kama kuna anaeifahamu hii kampuni kwa undani naomba anijulishe uhalali na ukweli wake kwa ujumla, kwa maelezo yao ni njia nzuri sana ya kutengeneza pesa. tafadhali mssada
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…