Madini aina gani haya wataalaam nisaidieni

Feb 11, 2013
68
12
58df21711a51c2f8a56eab07180cd9dc.jpg
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
5a5e2dfcecd91a06b75e6969ddf4c993.jpg
 
Quatz hii
Yanauzwa kwa Ton bro
Soko lake bongo kias flan ni gumu
Yanachimbwa brazil
 
Yanauzwa kwa Ton bro Soko lake bongo kias flan ni gumu Yanachimbwa zaidi brazil
 
58df21711a51c2f8a56eab07180cd9dc.jpg
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
5a5e2dfcecd91a06b75e6969ddf4c993.jpg


Hizo ni takataka hamna mtu ananunua.....Hii kama unachimba madini ya vito ndo inajichora kwenye mwamba inakupa mwelekeo wa njia.
 
Muundo wa hiyo ya chini umenifanya nicheke aiseeee
Ukizingatia mida ya upendo hii
 
Kilo moja ni zaidi ya tsh 10000/!thamani yake ya crystal quartz itazidi ongeza kutokana na u clear wa Jiwe na ziwepo michongo ya juu....nncha
Tanzania zinapatikana kwa wingi tu
Ahsanteeee mkuuu kwa ufafanuzi nmekuelewa
 
Madini ya Vito ni kama yepi mkuuu na huwa yanakwenda sambamba na madini gani kwenye mkondo wake.?
Ni Kama ruby,tanzanite,emerold,sapphire,tormaline,spinnel,etc Yako mengi madini ambayo hukatwa na kuwekwa kwenye vidani au pete...
Na madini nayo asili yake huwa yanatakiwa kuwa ktk ubora wa juu(gem quality)yaani chupa chupa
 
Back
Top Bottom