Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Imepita miaka kibao wakazi tunaotumia hii barabara tumekua tukidanganywa juu ya ujenzi wake kwa kiwango cha lami mpaka tumechoka,tangu enzi za mbunge madeje mpaka huyu mavunde kila awamu...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Wataalamu wa mambo naomba kujuzwa kuhusu ununuaji wa hisa za DCB, na mnazionaje kwa mwaka 10 mbele vipi kuna uwezekano wa kupata faida kubwa
0 Reactions
5 Replies
729 Views
Hello I am looking for raw beeswax buyers, I have 4+ tonnes. Hello, habari, ninauza nta Kama unamfahamu mnunuzi naomba uniconnect nae 0714626263/0625609946
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Umiliki wa Kampuni unatakiwa kua very transparent, sababu una deal na serikali, una deal na Wafanyabiashara wenzio, una deal na wakopeshaji, una deal na wateja, na wafanyakazi pia. Sasa Hii ni...
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Habari JF, Jamani nahitaji msaada wa biashara gani nifanye ambayo haitahitaji muda wangu mwingi, ukizingatia mimi bado mwanafunzi. Eneo ninaloishi ni Dar. Mtaji nilionao ni milioni 1.5...
0 Reactions
183 Replies
77K Views
Leo ni tarehe 5 unatakiwa ku file taxes zako kabla ya Saa 6 usiku. And by the way Nina E-book yangu inaitwa "Kodi unazotakiwa kulipa kama Mfanyabiashara Tanzania" Ni FREE e-Book, nitumie meseji...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mke wangu alikua muuza mitumba sasa ile biashara huwa wananunua yale mabando ya nguo na huwa linafungashwa mchanganyiko wa nguo tofauti Sasa kwa mara kadhaa kila alipokuwa akifungua ili...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenye uzoefu au aliyewahi kufanya kuagiza bidhaa China akatumia Umoja air cargo kusafilishia mzigo anipe uzoefu wake au ambaye anaagiza kwa kutumia air cargo ya uhakika tafadhari anijulishe
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Ni ipi bora kati ya hizo ambayo ni nzur na uhakika ktk kufanya malipo ya mtandaoni huko Alibaba, aliexpress, ebay, amazon nk! Na ni ipi yenye makato kidogo?
0 Reactions
7 Replies
497 Views
Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia...
3 Reactions
0 Replies
271 Views
Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Naomba kujua kuhusu biashara ya mafuta ya kupikia. Utajuaje mafuta ya kupikia yanapanda au yanashuka Bei? Mawakala wa mafuta ya kupikia wanapatikans wap?
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Wakuu, nipo Kigoma town, changamoto iliyopo hapa ni purchasing power ni ndogo, watu ni wachache kwahiyo mzunguko sio mzuri sana, Mimi ni mtumishi wa umma. Idea nilikua nayo kama 3. 1.phone...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu, Nina 10M. Natak nifanye biashara la duka la urembo (Perfumes, mafuta, Saa,cheni,wigi,sandals etc.) au nifungue mini pharmacy. Kwa Dar es salaam. Naombemi mchanganuo Biashara ipi Inalipa?
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, nataka kuanza biashara ya mafuta ya alizeti na niko dar, sijawahi kuifanya wala sina ninacho jua kuhusu hii biashara. Sasa naomba wanaoilewa, wanao Fanya, waliowahi kufanya hii...
1 Reactions
5 Replies
917 Views
Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil. Asante
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Wakuuu naombeni ushauri, Naona kazi ya barabarani sio nyota yangu mambo hayaendi risk haziishi Napitia wakati Mgumu kufanya maamuzi kuacha hii biashara ya bajaji na kuanza biashara nyingine ya...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…