Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kupitia Umoja air cargo

Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kupitia Umoja air cargo

Kidava1

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
31
Reaction score
24
Mwenye uzoefu au aliyewahi kufanya kuagiza bidhaa China akatumia Umoja air cargo kusafilishia mzigo anipe uzoefu wake au ambaye anaagiza kwa kutumia air cargo ya uhakika tafadhari anijulishe
 
Habari!
📦karibu PM AIR CARGO ✈️
✅Sisi ni wasafirishaji wa mizigo kutoka China 🇨🇳 kwenda Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya ndege.!
1.Mizigo ya kawaida kila week mara mbili siku ya jumatatu na ijumaa, kupokea ndani ya siku 3-5 maximum Siku 7 tuu
2.Mizigo ya vilipukizi kila week mara moja tu, siku ya jumatatu kupokea ndani ya siku 10-14
✅Simu
✅ Laptop
✅Vipodozi
✅Madawa
✅Bidhaa zote zenye asili ya vimiminika, majani, powder, betri na sumaku.!
ADDRESS YETU
°Tunapatikana kariakoo mtaa wa Livingstone na pemba jengo la Clifton Towers 2nd floor 0718096900🤝

CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781
 
Back
Top Bottom