Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

habari Jf? Nipo biharamulo-Kagera naomba msaada wa namna ya kuanzisha biashara ya vifaa vya shule na ofisini. Naomba kujua bei za photokopi mashine, scaner, laminator machine na komputa ya mezani...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hello! Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries. Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure. Mashine...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair trended downwards on Monday and Tuesday, and then began to make...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Kwa wale wanaodeal na industrial minerals, limestone bora inapatikana hapa Tanga, mgodi una vibali na leseni zote. Ni pm kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nataka ufafanuzi kutoka kwa majuzi wa jambo hili kiundani, maana yupo ndugu yangu kaniambia kakopa 5.5M, kwa miaka minne , atarudisha 8.4M. Yaani riba ya 2.9M. Sasa najiuliza hii si kama 50%ya...
3 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari,kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote.Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiriwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajiri website hapa tanzania naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zikiwa zimebaki siku chache tuumalize mwaka 2016 na tuuanze mwaka mpya 2017 kuna mengi natajia kufanya ili kuinua kipato. 1. Biashara ya KUPAMBA MAARUSI/KUMBI, hapa sina experience kabisa hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nawaza biashara ya kufavya nikaona biashara ya dagaa inaweza kuwa nzuri kuchukua dagaa mwanza au bukoba unapereka congo na kule unaweza kuchukua vitenge na kuja nanyo huku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nianze kwa kutoa pongezi kwa wizara ya kilimo na uvuvi,na hasa tume ya maendeleo ya ushirika nchini,kitengo cha elimu,hakika sasa lipo jambo watumishi w idara hii nyeti ya serikali wanafanya, pili...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
1. Kenya wameshaunda gari za Volkswagen polo, wataanza kutuuzia muda si mrefu. kwa uzoefu, magari ya kijerumani huwa garama kuliko magari ya kijapan. 2. sehemu kuliko na magari ya nchi za ulaya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Ni matumaini wote wazima. Kwanza kabisa, siku za nyuma niliwah kupost juu ya chalks project na nilikuwa naulizia juu ya upatikanaji wa mashine, nashukuru nimempata mtengenezaj...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari xa asubuhi ba ndugu Naombeni maujusi ya hii biashara kwa kutumia sim zetu hizi za kisasa Maana naona kuna viapplication vipo vipo lkn sijavielewa Na je vinamake faida kweli?
0 Reactions
0 Replies
780 Views
KANUNI ZA UJASIRIAMALI Ni tabia gani unahitaji ili upate mafanikio katika biashara au shuguri yoyote unayofanya? ili ufanikiwe katika shughuli au biashara unayofanya au unayotarajia kufanya ni...
5 Reactions
1 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimejaribu kuwekeza kwenye sekta ya usafirishaji kwa mda sasa yaani daladala . Ni shida kubwa sana kufanya hii kazi , ziko sababu kazaa kwa uzoefu wangu. (1) Trafiki wana...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Salama wakuu? Nina lengo la kuanzisha biashara ya m-pesa, tgo pesa, na huduma nyingine za aina hii. Changamoto yangu kubwa ni kwamba sijajua eneo gani linafaa zaid kwa biashara hii hapa Dar. Kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FAHAMU JINSI YA KUJISAJIRI NA HELPING HANDS INTERNATIONAL (h2i) AMBAYO NI FURSA MUHIMU KWA KUJIKWAMUA KIUCHUMI HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2i) Hii ni taasisi isiyo ya kiserikali imeanzishwa...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Moja la tatizo kubwa kwenye biashara na kilimo Tanzania ni usafiri ingekuwa vema serikali ingetoa kodi zote kwenye magari kazi kama malori na pickups. Hili litarahisisha watu kupeleka mbolea...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
yani nataka ntafute kitu kama dell la maji barid hiv, na baadh ya vinywaji, yan kiwe kama kiosk flan hiv ambacho inaeza ikawa hata ni pemben ya barabara kama kuanzia tukikosa sehem ya frem HATA...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…