Mh rais urudishe ushirika mhimili mkuu wa maendeleo nchini

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,011
8,358
Nianze kwa kutoa pongezi kwa wizara ya kilimo na uvuvi,na hasa tume ya maendeleo ya ushirika nchini,kitengo cha elimu,hakika sasa lipo jambo watumishi w idara hii nyeti ya serikali wanafanya, pili niombe tume hii ipewe meno makali ambayo kwa namnA moja au nyingine itaweza kutenda kama inavyostaili, nina maana gani hapa?

Nchi ya tanzania msingi wake mkubwa ni umoja,mshikamano ambapo vitu vyote hivi uongozwa na upendo tulio nao watanzania wenyewe kwa wnyewe na hata kwa majirani zetu.

Miaka mingi iliyopita mambo yote haya yaliwezekana pale palipo kuwepo,mshikamano,umoja na upendo katka kufanya shughuli fulani,ni umoja uo ulipelekea uanzishwaji wa vyama vya ushirika ambapo,mh rais kupitia ushirika wananchi mbali mbali wenye vipato mbalimbali waliweza kujichangisha na kusaidiana,mwishowe wakapata ushirika wa kuwEka n kukopa,ushirika huo ulikua sana na kufikia hatua vyama vinamiliki mahotel,maduka,na vitega uchumi mbalimbali,mambo haya mh rais yalianzishwa na mzee wetu marehemu nyerere ndo ylikuwa chanzo kikuu cha maendeleo,umoja na upendo.
Je u wap ushirika wa nyerere?
Mh rais vyama hivi vilivyo anza zamani huwezi amini,vipo mpka nyerere anakufa vilishafikisha kiwango kikubwa cha mtaji hata wa kuanzisha benki za kijiji.

Je nn kilitokEa?

Mh rais wanasiasa wengi,walivamia vyama hivi na kuiba fedha na mwishowe ndo vinakalibi kufa kabsa,kimsingi mh rais bado havijafa vyote bado vinapumulia mashine,nikusahii uipe meno tume ya maendeleo ya ushirika nchini ili iweze kuinua upya vyma hivi.mAana ni vyama hivi unaweza kutana na watu zaid ya 8000.wote wakiwa na nia na lengo moja,nikusihii uitazame video hii chini,maana n moja ya kazi za tume walizofanya,baada ya kuamua kuwapa mawakala watende kwa niaba yao
 
Back
Top Bottom