Msaada namna ya kuanzisha duka la vifaa vya ofisini na shuleni

wililo

Member
Apr 25, 2015
78
27
habari Jf? Nipo biharamulo-Kagera naomba msaada wa namna ya kuanzisha biashara ya vifaa vya shule na ofisini. Naomba kujua bei za photokopi mashine, scaner, laminator machine na komputa ya mezani na printa na maduka ya vifaa ofisi na shule kwa bei ya jumla mjini Mwanza. Asanteni.
 
Back
Top Bottom