Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwenye MAISHA bila kujali wewe ni MWEMA kiasi gani ni lazima kuna watu ambao hawatakupenda, bila kujali umefanikiwa kiasi gani lazima kuna watu WATACHUKIA mafanikio yako, bila kujali unafanya nini...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
anaandika zingo Mawazo ya HOFU ndani ya mtu hayana uhalisia na ni kitu cha muda tu, bali ni zao la TABIA za hofu tulizorithi au tulizolishwa kwenye jamii kupitia milango yako ya ufahamu na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salaam Nipeni mchanganuo wa ujenzi wa nyumba yenye vyumba viwili na sebule chumba kimoja ni master Na vyoo vya nje Kwa hapa mwanza inaweza kucost sh ngapi?
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Wana JF, Nina 50000 nafikiria nifungue akaunti bank hasa CRDB, sijajua kama inatosha na ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo. Asanteni
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari, Mazingira yangu ya kazi ni kijijini nahitaji kujaza gesi ya lake pale Igunga mtungi wa kg 15 nauliza je bei ya sasa ya kujaza kg 15 ni bei gani. Nauliza nipate uhakika maana naagiza mtu...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nahitaji ushauri binafsi kwa mtu mwenye uzoefu wa biashara ya kukopesha bidhaa mitaani. whatsapp namba yangu ni 0689631083.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wandugu naomba msaada MTU mwenye uzoefu na Biashara ya max malipo, faida zake zikoje na utaratibu Wa kujiunga? Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu habarii? Naomba kwa MTU yoyote ambaye anafahamu hii biashara ya kuchukua move kwenye mtandao kisha kubarn na kuziweka kwenye CD, au dvd, namaanisha biashara ya aliyokuwa anafanya lufufu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ninayo good news ambayo napenda nikufikishie mtu wangu ambayo nimefikishiwa na Kampuni ya Mikono Speakers na wanapenda pia ikufikie. Ninazo Complimentary Tickets zaidi ya 500 ambazo zitakuwezesha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wale wataalamu wa mambo ya uchumi na ujasiriamali naomba kufahamishwa kuhusu Taratibu zinazotakiwa kufuata na kiasi cha mtaji wa fedha unaohitajika ili kuanzisha Microcredit Company hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana ndugu wa jukwaa hili la kuelimishana jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi,lengo la kuandika uzi huu ni kumpata mtu ambae nitashirikiana nae katika kuiendeleza biashara yangu ambayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa Watalam wa uchumi Nina pesa mil 5 je ili nisikumbane na makato makubwa niweke kwa bank account au eatel money? Msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu Mim ni muhanga wa ajira za serikali. Nataka hamishia makazi yangu Tabora na kujihusisha na biashara ya matunda mchanganyiko hapo tabora Kwa wakazi wa Tabora...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
AUS200 Dominant bias: Neutral In the last two months, this market has not moved in a directional mode. It has been moving only in a zigzag manner since then, in a quite choppy environment. This...
2 Reactions
0 Replies
486 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza nataka kutumiwa mzigo kutoka sweeden! Tulitaka kutumia DHL ila inasemekana hawa jamaa branch ya bongo siyo waaminifu so, tumekua scared kufanya nao hyo...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Kama mlivosikia kuwa bomba hilo la mafuta litagharimu sh. Trilioni zaidi ya 7 Zabuni za ujenzi zinatazamiwa kutangazwa mwishoni mwa mwaka huu na hivyo ujenzi wa bomba utaanza katikati ya 2018 na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jamii forums wote karibuni kiwanda changu kidogo cha kuchapa tshirt, mabango, kofia, banners, tumsapoti magufuli kwa vitendo.. tanzania ya viwanda iko mikononi mwetu
4 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wakuu..!! Kifupi nina shida na uhitaji wa kupata mtaji wa kuendesha biashara yangu (operating capital). Nina kampuni changa ya microcredit activities (utoaji wa huduma za mikopo) ambayo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau, Kuna cement za aina ya rhino na lucky naziona sokoni zikiuzwa kwa 14,000/= na 14,500/= respectively.Je ni nzuri kwa kutumia kutengeneza matofali? Nipeni info kuhusu quality za...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Lets Share; Our Trades, Pips Made, Losses & Profits, Signals, Strategies and Analysis. This is for Experienced Traders and Newbies. CC @tallinex, Davion Delmonte Jr. NB: Naomba Moderators...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…