Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu poleni sana majukumu. Mimi n kijana mwenye umri wa miaka 28, ninamika mi3 tangu nimemaliza masomo yangu ya elimu yajuu, nimehangaika sana kutafuta kazi bila mafanikio. Nimekutana nakina...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau, Nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kwa njia ya simu, bahati mbaya pesa sikuipata. Nilianza kufuatilia kwa kupiga simu NBC baada ya siku moja. Majibu ni kuwa pesa yako itarudi ndani ya saa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Why people do well academically in schools do not always do well financially in the real world?Funguka
0 Reactions
27 Replies
3K Views
(Makala ifuatayo inapatikana pia kwenye tovuti ifuatayo ya : Uwekezaji Tanzania) Kuanzisha biashara kunahitaji kupanga mipango,kufanya maamuzi ya kifedha na kutimiza taratibu kadhaa za...
2 Reactions
3 Replies
8K Views
Sijawahi kunyooka kama leo wakuu. Hali yangu si nzuri kabisa yaani nimeishiwa vibaya mno. Hapa nilipo sina hata senti mambo yameniendea kombo Kila kitu kimeisha hapa wakuu Naombeni mnisaidie hata...
12 Reactions
117 Replies
12K Views
Takwimu za kiuchumi zinaonesha kwamba 28.2% ya Watanzania ni maskini hasa wa vijijini ambao ni 75% ya hao (au 21.2% ya Watanzania). Ili kuendelea kupambana na changamoto hizo za kiuchumi, Ilani ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hii JF, Naombeni msaada wenu, Nimeshindwa kulinda biashara yangu kutokana na kuugua hapo awali, nilikuwa na Duka lenye thamani ya sh.ml.5 nilikuwa nauza vinywaji baridi, biscuits, juice, bites...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Wanajukwaa! Natafuta namna ya kumtoa dogo. Mdogo wangu amehitimu udaktari ila hajapata ajira. Tunataka aanze duka la dawa, akijipanga kuelekea kuanzisha zahanati yake. Sehemu ya kufungua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Magufuli wants oil pipeline now November 9, 2017 National News, NewsComments: 0 By Ssebuliba Samuel. The president of Tanzanian Dr John Pombe Magufuli has asked the government of Uganda to...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market went sideways from Monday to Wednesday and moved further south on Friday (in the context of a downtrend). The...
2 Reactions
7 Replies
753 Views
Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina wazo wakuu ningependa tukusanyane Kwa pamoja tuunge kikundi cha vikoba. Na tuanze kukopeshana mitaji sisi Kwa sisi lengo ni kusaidiana na kutatuliana changamoto hizi za maisha yetu ya kila...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalam jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu! Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani! Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Habari wana jamvi wenzangu... Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya...
1 Reactions
40 Replies
38K Views
Za asubuhi nyote. Naombeni msaada kidogo wa kupatiwa maeneo ambayo kuna wakulima wengi wenye kulima mazao ya biashara. Na wakulima wenyewe wanauza kwa vikundi au wanauzia makampuni moja kwa moja...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wandugu, poleni na mihangaiko. Kusudio langu kwa wale wanaofahamu gharama ya kupata CRDB visa or master card inagharimu sh ngapi. Lengo ni kufanya malipo ya nje ya nchi na pia kuunganishwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…