Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu watanzania wenzangu hamjambo? Naomba kujua kama mtu akiwa na mkopo bank, hasa kwa watumishi, na akahitaji kulipa mkopo wote kwa kweshi au kwa kuuza kwa kampuni nyingine, Je atadaiwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Natumaini wazima wa afya ndugu zangu. Nina shida na mkopo wa shilingi milioni 1.2 nitarudisha ndani ya miezi miwili tu na riba yoyote utakayoniwekea. ASANTENI. ANGALIZO: Najua kitu cha kwanza...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
HABARI ZA WIKIENDI WANA JF, NDUGU ZANGU WATANZANIA, NINAOMBA UFAFANUZI. Mimi ni mfanyakazi tlwa serikali. NILICHUKUA MKOPO BANC ABC SH. MIL. 5.8 KWA MUDA WA MIEZI 72 NIMESHALIPA MWAKA...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu zangu za mida naomba kwa yeyote aliwahi kutumia machine za betting kama sehemu yake ya biashara anisaidie. Ninafikiria kufanya biashara hiyo hivyo nilikuwa naomba mnisaidie niweze kujua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nashida na 1,500,000/= tshs narudisha 1,890,000/= tshs kwa miezi sita. Tuwasiliane: ahmardz@gmail.com Niko serious na dharura kidogo au mwenywe kujua microfinance yoyote ambayo mtu anaweza...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles John Mwijage amepokea malalamiko kutoka India kuhusu utapeli uliofanywa na madalali wa mazao kutoka Tanzania. Hivyo taarifa kutoka India zinamtaka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, naomba mwenye ujuzi anisaidie taratibu au hatua za kusajiri kampuni ya Mikopo na gharama kama ikiwezekana. Asante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
This is an extract from the speech of Jack Ma's (richest Chinese and founder of Alibaba - world's largest e-commerce platform) at the University of Nairobi, that I have archived in my soul. 1. If...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za usiku wadau.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekaa na kufikiri ssijapata jibu kuhusu kuzuka kwa kampuni hizi je ni moja ya kukua kiuchumi au ni ugumu wa maisha unasababisha watu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wahindi ukiachilia mbali mambo yao mengine wale jamaa huwa ni watu wenye akili sana, Hatuwezi lingana nao kwa akili. Wahindi huwanandaa sana watoto wao Kisaikolojia tangu wakiwa Chekechea...
11 Reactions
67 Replies
11K Views
Ndugu wana JF, Nawasalimu. Naomba kutoa yangu ya Moyoni kuhusu huu mtandao wa sim wa AIRTEL kwa wateja wao waotumia huduma ya ONE NETWORK. Hivi ninavoongea tangu jana mida kama ya saa saba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika thread hii tutashuhudia mabonge ya almasi yaliyowahi kuchimbwa katika mgodi wa Williamson kule Mwadui na kuvunja rekodi za ukubwa za dunia na yaliyovunja rekodi za mauzo. March 29, 2016...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Waungwana Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa nipo chuo bado still ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada naomba niende moja kwa moja kwenye mada Jee naweza kupata mkopo wa kuanzia elfu 10 mpaka...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The pair went upwards last week, gaining about 200 pips. Price moved briefly above the resistance line at 1.2050, and...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Most educated people in Kenya are poor. Not just poor, but very Poor. Why? Because 80% of the educated people in Kenya earn less than Kshs. 50,000 for a salary before tax and other deductions...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake asilimia kubwa sana biashara zao kwanza ni za kuiga kwa 99% Na biashara zao zinaangukia hapa - Min super market-wanapenda sana hivi viduka - Saloon ya Kike- Hapa kuna kundi kubwa sana...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu Wana jamii Forum mimi mjasiliamali na Kuna fursa nimeona nataka niifanyie kazi katika eneo fulani mkoa wa tanga wanapenda sana kutumia sabuni za magadi na majivu ila upatikanaji wake...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Shirika la ndege la Kenya linaungana na South Africa, Ethiopia na Misiri kama sijakosea kupewa kibali cha kuruka kutoka Jomo Kenyata Internationa Airport hadi New York. Hivi vibali huwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waungwana japo tunasimazi lakini lazima maisha yaendelee, nataka kusajiri kampuni hii ni pampja na Kutayarisha company profile, MoU na megine yanayohusiana na haya, mwenye utaalam huu tafadhari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…