Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema...
Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri...
Offer offer offer!!!!
Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu
✓ufundi bure
✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama
Zetu
✓camera zetu ni...
Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari.
Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili...
Wafanyabiashara wengi wanajua Kariakoo kama sehemu yenye msongamano na kelele, lakini wachache sana wanajua nguvu iliyo ndani ya machimbo ya bidhaa yaliyopo pale.
Kariakoo ndiyo moyo wa biashara...
SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI
📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji.
📌 Taasisi za kifedha...
● Njombe
●Iringa
●Mbeya
●Katavi
● Mwanza
●Tabora
●Kigoma
●Tanga
●Ruvuma
●Morogoro
hio mikoa kama huna mganga wa uhakika bora uache tu kufanya biashara au uende dar
☆Hii mikoa ni kawaida...
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856...
Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu..
0692477610
Bei hutegemea na ukubwa...
Huenda umekuwa ukitumia usafiri wa Bajaji (pikipiki ya matairi matatu) na kudhani kuwa zote zinatumia mafuta ya petroli pekee.
Hata hivyo, hali imebadilika! Sasa kuna Bajaji zinazotumia Gesi...
Siku ya kufa nyani wakuu.
Mod jaribuni kuweka kichwa vizuri
Nimerudi polisi nimefika hata haijapita masaaa wamepita TRA sijui kina nani ila kuna faza ana kitambi.
Kaomba leseni, mimi sina na...
Wafadhili wengi (donors) hutakiwa kwa mujibu wa sheria zao ndogo ndogo (by laws) na maamuzi ya vikao vya bodi; kutoa kiasi cha fedha kila mwaka kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya maendeleo. Hivyo...
MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA.
🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio.
Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi...
How to Start Making Money Online with Zero Investment in 2025
Introduction:
Are you tired of watching others make money online while you’re stuck wondering how to begin? The good news is — you...
Utangulizi
Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri.
Tofauti kati ya fedha na utajiri
Fedha ni...
Habari ndugu zangu wa JF
Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma.
Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye...
Habari.? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu natafuta wauzaji wajumla wa jezi za timu mbalimbali hasa jezi za msimu huu, yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata namomba anisaidie..
1. Utangulizi
Mimi naitwa Ibrahimu Juma, mkazi wa wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara. Ninatafuta fursa ya kushirikiana na mfadhili katika biashara ya ununuzi wa ufuta — zao muhimu linalopatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.