Heshima kwenu wakuu,
Mwenye uzoefu na biashara ya kuagiza mchele kutoka kwa wakulima huko Mbeya na kuusafirisha kuuleta hadi Dar.
Naomba uzoefu na msaada wenu hapa.
WHY ONLY SORBONNE-EDUCATED, LITERATURE PH.D.S SHOULD CUT YOUR HAIR
You get a haircut every few weeks. Everyone does. Men, women, children. Even balding men need a trim occasionally (as I’m...
Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bearish
The market has been showing weakness since last week (price dropped more than 1200 pips last week alone). A bullish attempt was made on February 26, but...
“ Serikali inafikiria kuweka akiba yake Benki Kuu kwa kutumia madini ya Tanzanite.”
Hayo ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya fedha Dkt Philipo Isdor Mpango aliyoyatoa Novemba 2016, ikiwa ni...
Wakuu naomba kufahamishwa utaratibu kuwa kuanzisha na kusajili saccos ama kikoba..
Kwa maana ya idadi ya wanachama na vigezo muhimu vinavyozingatiwa kupata usajili.
Naomba kuwasilisha..
Waungwana habari za jumapili? Wakati flani nilipotembea hapo DSM nilishingazwa nilipokutana mtaani na jamaa ambaye alijivalia vizuri huku akiwa na kipaza sauti akitangaza kuwa yeye ana nunua Fedha...
KWA SHUGHULI NDOGO NDOGO NA VIKAO AWIMO BAR AND GUEST HOUSE INATOA UKUMBI, MUZIKI PAMOJA NA COCKTAILS BUREEE KABISA, NA ENDAPO NI SHUGHULI IHUSISHAYO WAPENDANAO kama Engagement tutawapatia zawadi...
Leo nimependelea kushilikiana nanyi elimu hii ya ujasiliamali,karibuni kuchangia zaidi ili tupeane ujuzi zaidi;
Mjasiliamali
- ni mtu anayeiona fursa na kuifanyia kazi,
Ujasiliamili
- ni yale...
Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi..
Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani.
Ombi langu ni ushauri je naweza...
Hbr Wana jamvii.
Nimesikia takwimu za wafanyabiashara wa kariakoo wakilalamika hali ya biashara kuwa ngumu... last time niliskia biashara 800 zimefungwa na wkt huo huo zikafunguliwa biashara...
Habari za saa wajasiriamali wenzangu. Naomba kujua kama Dhl wana agent Ruvuma -songea.
Na kama hawapo ntaupataje mzigo wangu kwani kuna mzigo inabd nitumiwe toka nje na anataka kunitumia kupitia...
Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
Habari Wakuu,
Kwanza Napenda Kutoa Shukrani Za Dhati Kwa Watu Mbalimbali Wanaotoa Michango Yao Juu Ya Vitu Mbalimbali Hapa Jf Kwangu Mimi Jf Nin Zaidi Ya Ndugu.
Baada Ya Kukaa Mtaani Na Kupigika...