Air Tanzania Cust care weekend hawafanyi kazi ??!


mirindimo

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
532
Likes
187
Points
60
mirindimo

mirindimo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
532 187 60
Nimejaribu kupiga sana 0800110045 bila mafanikio kuanzia saa moja mpa sasa hivi saa mbili simu inaita tu haipokelewi nikapiga
+255 22 211 8411 namba ya ofisi ya Air Tanzania naambiwa haipatikani kwa sababu hawajalipia deni wanalodaiwa ,sasa nikajiuliza hii ndio shirika tunataka washindane na mashirika mengine ya ndege ??! Are we serious in business ??! Kama cust care wanashindwa kuepo 24 hrs watuekee namba za Manager wao ili tumpigie atujibu mahitaji yetu maana wanalipwa kodi zetu hawa.Yaani Tanzania bana,huku wengine ndege zao wanaahirisha safari tu hovyo huku wengine cust care mbovuuuuuu !!! Dah sasa I can feel ugumu anaopata Magufuli
 

Forum statistics

Threads 1,235,802
Members 474,742
Posts 29,236,346