Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kwema huko mwakwenu wandugu? Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kwa nn Africa kitu kinaitwa kianzio ni changamoto kwa % kubwa? Tatizo ni nn? Za chini chini zinasema kuwa kwa muda aliongoza Bw...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Habari yenu waja jf nahitaj kununua shares iwe ya bank au company binafsi
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Mimi ni m1 wapo kama kichwa cha uzi.. Nina lengo la kua mfugaji wa kuku wa biashara ila wiki hii nimekumbana na hasara ya laki mbili na 10.. Baada ya kuku wangu karibia 10 kuugua na hatimae kufa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Kila kona, kila mtaa na viunga vingi ambavyo ndani mwake kuna changanyikeni ya watu, habari ni ujasiliamali. Vijana wengi wamebadilika na kuamua kufanya biashara flani ili...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Utapeleka makato ya Bima kila mwaka hadi lini bila wewe kulipwa? Bima ikishakomaa na kuiva tayari kulipwa piga moto kitu ulivyowekea bima kisha ongea na watu wawili watatu wa bima haswa wa...
13 Reactions
52 Replies
5K Views
Kama upo sirias na unahitaji kuwekeza ili uweze kukuza uchumi wako, tafadhali naomba niambie ili nikupe mbinu znazonifanya kila siku nizidi kuwa bora zaidi kiuchumi, nipo tayari kukusaidia...
9 Reactions
78 Replies
11K Views
Huyu jamaa ukiingia youtube yuko number #1 on trending for five days now. Nitashangaa makampuni mbalimbali ya kibiashara na watu wa marketing wasipomtumia huyu mzee kwenye biashara zao. I see an...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Nakunywa maji ya maembe kutoka Misri, nikafanya uchunguzi mdogo tu. Misri ni jangwa, eneo linalolimika halizidi 3.5% yake (35,000 km2 katika bonde la mto Nile) na inauza nje maji ya maembe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jukwaa ningependa kupata elimu kutoka kwenu kwamba ni biashara ya ukubwa gani inapaswa kukatiwa lesseni ya biashara, lakini zaidi natamani kufaham ni pato kiasi gani kwenye biashara...
2 Reactions
1 Replies
936 Views
Humu ndani tumekuwa ni zaidi ya ndugu kutokana na wote kuwa na tatizo moja la kukosa ajira huku tukilalamikia kukosa mitaji lakini je unatambua kuwa unaweza usiwe na mtaji lakini ukaweza...
19 Reactions
54 Replies
11K Views
Je unataka kujiajiri katika Forex online trading? Au unapenda kutumia muda wako wa ziada kujiongezea kipato kwa kutrade online?Tutakufundisha. Je unapenda kujifunza jinsi ya kufanya technical...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana-Jf. Kulingana na namna ya kumiliki shughuli au jambo fulani nchini mwetu, yatupasa kuzifahamu sheria na taratibu katika jambo husika. Pia kutokuzifahamu taratibu hizo na sheria ni...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wadau! Naomba kufahamishwa namna gani naweza kufanya ili niweze kuwa wakala wa bima . vitu gani vinahitajika yaani kama kuna mtaji nk. Natanguliza shukran kwa mawazo yenu mtakayotoa.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Inaelezwa kuwa bidhaa za viwanda kutoka nje ya nchi zinaingia kwa wingi nchini, lakini hakuna mfumo thabiti wa kusimamia uingizaji wa bidhaa hizo hali ambayo inadhoofisha nguvu ya viwanda vya...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukweli usiofichika kwa wafanyabiashara wa mjini? ili kuweza pata Fridge la Bonite inaweza chukua zaidi ya mwaka. Mara ya kwanza nilifikiri utani ila mimi binafsi nilijionea, nilihitaji fridge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hamjambo wenzangu! Mimi ni mgeni kwenye hii forum na nimekuwa nikisoma issues tofauti na kwa kweli Jamii Forum haiwezi kulinganishwa na forum nyingine yoyote kwa sababu ya ubora wake. Nashukuru...
0 Reactions
22 Replies
15K Views
Kwakweli Jana nilijawa na furaha tele baada ya hapa Arusha kukutana na Graduate alie somea mambo ys IT anachoma mahindi. Niliongea naye kwa kifupi sana ingawa nime mpromise kumtafuta tuongee...
27 Reactions
329 Replies
32K Views
Viongozi na Wakuu wote hapa nyumbani JF Forums! Kwa niaba yenu wote tunapenda kuihakikishia serikali kuwa JF si mahali tu pa kumkoma nyani na kuibua maovu ya serikali na jamii kwa ujumla, bali...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
HIVI UNALINDA WADHIFA(BRAND,STATUS) AU UNALINDA UMASIKINI??? Etiiiii Etiiiii!!!!!! Wengi wetu tunaishia kwenye kununua vitu ambavyo vitaendelea kutoa fedha mifukon mwetu badala ya kununua vitu...
42 Reactions
78 Replies
8K Views
Ewe Mjasiriamali/Mfanyabiashara zingatia haya kabla ya kuanza biashara/wazo la biashara! Habari zenu Kumekuwa na ongezeko la watu kuingia katika ujasiriamali/kufanya biashara hasa katika kipindi...
3 Reactions
5 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…