Nataka kuanzisha kiwanda cha tomato souce, naomba muongozo

mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio
Tupo nyuma yako.
 
mwenye idea na biashala hii anijuze,kwan nataka kuanzisha kiwanda kidogo kitakacho zalisha lita 50-100 kwa siku.Ilia sijui pa kuanzia
vifaa,mtaji,mahitaji na upatikanaji wa mashine pia vifungashio

Ukifanikiwa leta mlejesho
 
13b3eebd5563deed40cec81291f5b208.jpg
 
nyanya zipo mpaka za kumwaga kama hizo apo ni zimeuzwa mpaka zimebaki soko tatizo... bei. currently Iringa ime drop mpaka kero... chukua fursa boss
 
Nakushauri ujihusishe na biashara ambayo angalau mambo muhimu khs hyo biashara unayafahamu
 
Nakushauri ujihusishe na biashara ambayo angalau mambo muhimu khs hyo biashara unayafahamu
Ni good point ila huwezi zaliwa unajua kila kitu... biashara ni kujifunza kujua na kufanya na kufanikiwa... utaifanya endapo itaijua vizuri na njia ni kujifunza. Usije ukaji limit kua siwez anza hii biashara koz siijui. apo itakua ni uvivu wa kujifunza.... Jifunze kwanza usipoona fursa ndio uache lakini ukiona chakula pambana boss
 
Nakubaliana naww ila km nlvyosema mwanzo MAMBO MUHIMU ni vzr ukayajua vzr na kwa kina
 
wadau bado wamelala, kumbe jf huwa wana chelewa kuamka
 
Wasalaam wana jukwaa,nimejaribu kutafiti biashara hii nimegundua vifaa havina gharama sana kwa scale niliyo amua kuanza nayo,kwam blender ya kawaida ya lita mbili inatosha kuanzia,ges na jiko kwa akil ya blanching na canning,milion moja inatosha, shida hapa ni packeging {vifugasgio} nawaza niende SIDO nikaonane nao kama kutakuwa na koz itabidi niifanye, tatizo jingine ni kuirasimisha, naona milolongo ni mingi wakati mi nataka kuanzisha small scale,
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom