Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari Wakuu Nataka kufungua kampuni ya usafi, ambayo itakuwa inafanya usafi katika maofisi, manispaa, mashuleni, majengo ya biashara nk. Naomba mwenye details za kutosha za jinsi ya kusajiri...
1 Reactions
18 Replies
21K Views
Nimepata wateja wa kununua unga wa mahindi nje ya Nchi,naomba kwa wale wanaofanya biashara hiyo,wanijuze utaratibu,hasa vibali ninavyotakiwa kuwa navyo,upatikanaji wake,wapi vinapatikana, wakati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini jamvini, Leo ningependa tuongelee kidogo umuhimu wa blogs, websites na mobile apps kwenye biashara. Biashara nyingi ndogo na za kati hufa ndani ya mwaka wa kwanza hadi mwaka wa tatu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana JF naombeni ushauri, Nataka kufungua account ya kuweka hela benki. Je ni account na benki gani iko vizuri? Ahsante
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish The market is bearish in the short-term, for price went southwards throughout last week, moving briefly below the...
1 Reactions
4 Replies
907 Views
Habari wana jf,Leo nakuletea utengenezaji wa dawa ya kuondoa madoa kwenye vyoo{stain remover} Vyoo vingi huwa na madoa yanayoleta uchafu wa rangi za njano ,kijani.Huwa vigumu kuondoa kwa...
3 Reactions
23 Replies
9K Views
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuanzisha biashara na kujiajiri.. Watu wengi wamekua wakijiajiri na kuzani ni wafanya biashara... Kuunda biashara ni kazi ya muda mrefu na inahitaji umakini...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Wanajamvi salam kwenu. Naomba kuuliza kuwa je kama nimetumiwa zawadi ya vitu kutoka nje, je napaswa kulipia kodi TRA? Mfano nimetumiwa nguo kadhaa na Viatu, je ni Kiwango gani kinapaswa kulipiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau ni apps gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika? Branch na tala hawa hawaeleweki wameweka hizo app watu wadownload ili tu wapige hela.
1 Reactions
41 Replies
71K Views
Kwenye mwezi wa tatu mwaka huu baada ya kujimeki sana niliamua kufungua biashara fulani baada ya vyuma kukaza sana. Ila changamoto ikaja baada ya kuanza bishara eneo nililopo ikawa tra kila...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimekua nikifatilia hii kazi na naona imepata wafuasi wengi wanaotoa mrejesho mzuri,bila wasi inafuta ile hofu ya wanaohoji uhalali wake. Serikali ya Kenya kupitia Capital Markets Authority(CMA)...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kwa kunipa nguvu na afya kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo eleza najua wengi sana huku tunamalengo yetu kuna watu malengo yao yameshatimia na kuna bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nataka nipate mchango wenu ambao tayari wa uelewa wa mambo haya. Kutoka Tanzania mpaka Uganda inaweza kukost kiasi gani...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Nimeshaagiza mizigo mitandao kama ebay na aliexpress kwa mafanikio ila nikiri alibaba nimeshindwa hizi shipping gharama ni kubwa mpaka sielewi wauzaji wanafikiria nini mfano nilikuwa nataka niwe...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndugu zangu waweza kua mtumishi wa Umma au umeajiriwa au Huna kazi. Lakini tambua hakuna kazi utakayo fanya ili ufanikiwe hakika. Nunua vitabu vifuatavyo na nikuunge kwenye group la mafunzo mbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kama mtu Ana mtaji Wa shilingi lakini moja kwa sasa anaweza fanya biashara ipi itayo mpatia kipato kwa mda mfupi
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Miaka ile kulikuwa na mavitabu yale ya njano yana namba za simu za watu binafsi, makampuni na mashirika mbalimbali. Ni kwamba watu hawaoni fursa hii au ni kwamba sisi tumeendelea saaana? Hata...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
kiukweli kwa mtu yoyote msomi au mtu yoyote ambae yupo mtaani yawezekana akawa anajua hili?? kwangu mimi naona Elimu yetu TZ haimuandai kijana kuja kutegemea taaluma yake kumkuzia kipato bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nataka kumfungulia saluni dogo aweze kupata riziki ya kila siku hana uzoefu na biashara hii ingawa anapenda. Hivyo Tafadhali mwenye uzoefu a-share nasi hapa kupata ujuzi zaidi...
1 Reactions
7 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…