KUNGUNIMSOMI
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 174
- 174
Habari wanajamvi nilikuwa napenda kufanya biashara ya vyuma chakavu je ni makampuni gani yananunua,vipi kuhusu bei kwa tani ya vyuma chakavu na ni mtaji kiasi gani unaitajika? Na ni changamoto gani zinazojitokeza kwenye biashara hii?