Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Siri Iliyojificha kwenye Biashara ya Kuuza Followers – Na Jinsi Watu Wanavyotengeneza pesa nyingi sana kwa kuuza followers. Hii biashara halali (Inajulikana), isiyo na stress, isiyo na gharama...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu WanaJF, Nauliza kwa anayejua jinsi ya kupata meza ya kukodi Tandika au Mbagala, nataka kuanza biashara ya mtumba.
2 Reactions
7 Replies
903 Views
Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Ili Uwe Mtaalamu Wa Kufanya Biashara Mtandaoni Unatakiwa Ufanye Hivi Vitu Viwili Hapa Chini... •Wekeza Zaidi Kwa Watu(Fanya Matangazo Ya Kulipia) •Wekeza Kichwani(Jifunze Maarifa Mapya)
3 Reactions
2 Replies
453 Views
Agosti mwaka huu, CRDB ilikuwa trendy sana, market cap ya Tsh trilioni 3.6 na hisa zake ziliuzwa kwa zaidi ya Tsh 1,500. Kila mtu alitaka kuzinunua, akitumaini mambo yatazidi kuwa matamu, lakini...
2 Reactions
7 Replies
836 Views
Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za weekend wanajamvi. Nipo katika mchakato wa kufungua biashara ya Stationery,nipo mkoani ila nataka kuwa nalangulia Bidhaa Mkoani Dar. Naombeni mnitajie machimbo nitakayolangua Bidhaa kwa...
3 Reactions
9 Replies
989 Views
Mfanyabiashara ana muacha Mtaalam wa masoko mwenye degree ya marketing, connections, uzoefu, mwenye database ya wateja, n.k. anaenda kwa mganga wa kienyeji wa matunguli ili uweze kupewa dawa au...
1 Reactions
4 Replies
791 Views
4core Power and Machine Company Ltd Click hyo link hapo chini Google Search https://share.google/EPoOgdtbyYJK4S3S5 Tuna deal na Mechanical and Electrical Works. N Contractor wa Mechanical class...
1 Reactions
1 Replies
297 Views
Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu...
3 Reactions
40 Replies
23K Views
Wadau mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vitu mnadani kwa Dodoma hasa kondoa vijijini naomba ushauri ni maeneo gani biashara inatoka
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Mliofika Mafia. Mafia machoni pa watanzania wengi bado ni giza. Hata mtu ukimwambia ataje wilaya za Pwani angalabu sana kutaja Mafia!! Kwa hali hii imenipasa kuuliza kama hata lami ipo...
11 Reactions
223 Replies
52K Views
Wakuu habari za weekend, Kutokana na yanayoendelea kwenye huduma za kibenki naomba kuuliza wenye uzoefu na huduma za NBC, makato yao, huduma kwa wateja na ufanisi wao wa mtandao. Baada ya...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Eneo langu kina SQM 1200 yaani 40M kwa 30M. Kuna mtu yeyote amwshawahi kufanya calculation ya kujua cost ratio ya Seng'enge na Tofali?
1 Reactions
34 Replies
33K Views
Unataka kufungua kampuni haraka na kisheria bila kupoteza muda? Sasa unaweza kufanya kila kitu mtandaoni kupitia mfumo wa ORS wa BRELA. Hapa kuna mwongozo rahisi wa hatua kwa hatua: Ingia kwenye...
1 Reactions
2 Replies
636 Views
Biashara zenye mtaji mkubwa kama vile benki, bima, huduma za mawasiliano, bandari, utalii, na maduka ya kubadilisha fedha.
1 Reactions
0 Replies
239 Views
Hati ya TIN kutoka TRA Cheti cha usajili wa kampuni (kama ni kampuni) Mkataba wa pango (kama umepanga) Tax Clearance Certificate kutoka TRA Vyeti vya mamlaka husika kwa huduma za kitaalam (mf...
1 Reactions
0 Replies
296 Views
Nimelima na kupanda miparachichi heka 14 mwaka ndio zimezaa lakini ninapata wasiwasi mana ni vinekuwa vidogo sana kiasi kwamba nahisi haviwezi ingia sokoni, je wataalamu ndio huwa hivi kwa mara ya...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
2 Reactions
12 Replies
889 Views
Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
3 Reactions
13 Replies
889 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…