Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wadau,naomba ushauri kidogo,ukiwa mfano umekodisha frame na ukaamua kufungua au kuweka bidhaa za matunda,spices na mbogamboga,Je ni vibali gani utahitajika uwe navyo?msaada kwa anayejua...
0 Reactions
25 Replies
13K Views
Habari ndugu zangu tafadhali tujuzane juu ya biashara ya machine ya kukoboa na kusaga nafaka. 1.Mashine yenyewe; kiwango cha chini kabisa cha fedha cha kuweza kununua machine yenye tija ...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
IliyotanguliaIfuatayoOriflame for YOUR DreamsYAJUE MAFUTA YA AJAB KWA JINA LA WONDER OIL.Bidhaa hii ya wonder oil imetengenezwa Na virutubisho maalum vya kutunzia ngozi zetu, ikiwemo:Mafuta ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna fremu ya familia ilianzshwa biashara Ila biashara ikawa inafilisika kila xku...na sababu kuu ni; 1.Muingiliano wa usimamiz(kila mwanafamilia alkuwa ni muhusika) 2.matumizi ya hela(kila kitu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nlikua nafikiria kua wakala wa moja ya makampuni ya sports betting,, sema sasa makamouni yapo mengi mtu ambae yupo mzoefu na kampuni bora ya kubet ambayo ina incentives nzuri ansaidie...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
habari wana jf naomba kupata elimu juu ya namna ya kufanya vat ruturn online endapo kampuni inafanya mauzo, na endapo kampuni haifany i mauzo yeyote yaani haizalishi. elimu hii itawafaa na wengine...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu kichwa cha habari chahusika. Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia...
0 Reactions
125 Replies
12K Views
Habari za mchana wana forum. Nisiwachoshe na maandishi mengi; mimi ni kijana ambaye nina uzoefu kidogo na miti na matumizi yk nipo dsm kwa sasa kwa mapumziko ya mwezi hapa nilikuwa nataka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wadau.. nawaza tu kwa maoni yangu haya mashindano yangefutwa tu. yana bajeti kubwa sana huku impact yake kwenye jamii ni ndogo sana.. nimeona miss morogoro mshindi wa mkoa tu kapata ist...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau, Natafuta wazo la biashara, nataka kuwekeza mtaji wa kati ya 5m - 15m na baada ya mradi kusimama niweze kupata kipato sio chini ya laki 5 kwa mwezi baada ya kuondoa gharama za...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakuu... Nimekua na mawazo sana ya kutaka kufanya hiyo shughuli ya uuzaji wa samaki lakini sio mimi binafsi ni kumpa mtu mwengine. Sasa kinachomifanya hadi leo sijapata...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
wakuu habari, wenye ujuzi kuhusiana na biashara hii ya ku print flyers,posters,labels, packaging , bronchures,outdoor banners na mabango ya matangazo ya aina zotenaomba afunguke hapa kwa manufaa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ethiopia nchi ya wakaazi 100, 000 wengi wao hawana account za benki tena si matajiri wa pesa kubwa kubwa, perfect market for MPESA to suceed... Naona Ethiopia ikiipiku Kenya kwa numbari ya wateja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapenzi poleni na majukumu ya kutwa nzima, Nauliza; nataka nianze kurusha vocha za airtel maeneo ninayoishi ,je nawezaje kujiunga na hio hudumu kwa line yangu ya Airtel ya kawaida...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Yaani kuna Madirisha 6 lakini kuna teller mmoja tu naye anafanya kazi polepole kama kaajiriwa jana. Wafanyakazi wengine wapo tu wanalanda landa tu kila kona Cha kushangaza ni kwamba mtu akifika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja. Nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya...
7 Reactions
42 Replies
8K Views
Wakulima wa Mahindi wanahaha hawajui cha kufanya. Wanavuna miezi hii lakini bei ni mbaya sana kulingana gharama za uzalishaji. Kwa wakulima wa pale Mbeya Farm price ni sh 150/=kwa kilo au kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mfano. Nisahihi injinia kuacha fani yake nakwenda kufanya biashara ya mbao?. Au daktari kuacha fani yake na kwenda shamba kulima?. Maoni yenu tafadhali.
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, nina business idea ambayo itawafaa sana makampuni ya simu namaanisha kama vile Tigo, Vodacom, Airtel au TTCL. Nahitaji msaada wa kuelekezwa ni kwa namna gani naweza...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…