Natafuta mtu wa kufanya biashara!

Isaac23

Member
Feb 27, 2018
13
0
Habari wadau
Nina Mashine ya popcorn mpya inatumia umeme! nahitaji mtu wa uifanyia kazi. Awe mwaminifu. Nipo Lushoto Tanga. mahali pa kazi sio lazima huku maana huku mim nipo kwa muda ntaondoka. mwenye utayar tutafutane tushauriane wapi pa kufanya kazi na mm nitakuwa na pita pita zingine ndio maana nakosa muda wa kutulia kufanya hii kazi.
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom