Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital.
1. Board...
Huu ulikua ni ushauri wangu wa mwisho kumpa AISHA juzi mchana.
Kwenye thread hii nitakuonesha faida za kufungua Kampuni badala ya Jina la Biashara kama nilivyomwambia AISHA.
1. Limited liability...
In today’s digital age, social networks offer numerous opportunities for making money. With billions of users globally, platforms like Facebook, Instagram, Twitter, LinkedIn, and TikTok can be...
Najua wapo wengi ambao mmewahi kusikia kuhusu HUBS na Co working Space
Je, unafahamu ni nini?
Hubs au Co working space ni aina ya Ofisi za kufanyia shughuli zako ambayo inakuwezesha kufanya kazi...
Fee za usajili wa Kampuni BRELA, zinatofautiana kulingana na capital ya Kampuni.
Kwa capital ya 1M mpaka 4M Brela wataku charge 222,200.
Kwa capital ya 5M mpaka 10M Brela watacharge Tsh...
Unaweza kusajili leseni ya biashara kwa kutumia cheti cha jina la biashara yako tu
Leseni ya biashara ni kibali rasmi kinachotolewa na mamlaka husika ili kukuruhusu kufanya biashara kwa mujibu...
Habari za muda huu mabibi na mabwana,
Mbele yenu nipo mimi kijana mpambanaji katika sekta ya ujenzi (Contractor), hususan kwenye kazi za umeme na mechanical.
Pia nafanya biashara ya kutengeneza...
Napenda kuleta mrejesho hapa jamii forum maana ni sehemu ambayo nilipata wazo la kuanzisha kikundi cha maendeleo.
Nilisoma uzi wa mkuu mmoja unaohusu vicoba. Nikavutiwa na namna vicoba...
Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M.
Hizi ni hatua za kisheria za kufuata.
1. Kikao Cha...
Mimi ninatamani kufungua ofisi ya ushonaji, nina cherehani zangu mbili nataka nijue kuna utaratibu gani niufuate ili nisisumbuliwe na either TRA au manispaa.
Tafadhali wenye ujuzi na haa masuala...
Habari nduguzangu.
Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500.
Bei ya jumla inauzwaje?
Na je inakaa mingapi?
Inapatikana wapi kwa...
Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4...
Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi...
Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao...
💡 Hii hapa orodha ya idea 10 za biashara zinazolipa Tanzania (Bongo) — zimetengenezwa kwa kuzingatia hali ya soko, matumizi ya teknolojia, gharama ndogo za kuanza, na uwezo wa kukuza kwa kutumia...
Mteja anapokea fedha kwenye accounts yake fedha zinafika na kusoma lakini mteja hawezi kutoa.
Mteja anafanya muamala, m.f, anatuma hela kwenda kwenye mtandao wa simu, ombi linapokelewa na...