Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kutokana na maharage kuwa chakula na mboga pendwa pamoja na mapishi yake ya kuchukua muda mrefu kuiva na pia kutumia nishati nyingi. Biashara ya kuuza maharage yakiyochemshwa na kugandishwa...
2 Reactions
46 Replies
15K Views
Asalaam wanabodi! Mm nina nyumba/vyumba vya kupanga takribani 20 ziko mjini kabisa na eneo zuri. Na takribani kwa mwezi na uwezekano wa kuingiza kipato kisichopungua sh laki 5 kinachotokana na...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeshtuka leo kuona sasa na zile tulizoziita Giant Bank kama Bank M, nayo imechukuliwa na itasimamiwa na Benki Kuu, Kama Benki kubwa nazo zinakumbwa na mdororo wa ukwasi napata ukakasi huko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu biashara tajwa hapo juu naomba msaada wa maarifa na mchanganuo wa namna ya kuganikisha. 1. Naomba kufahamu mtaji kiasi gani unafaa kuanzia ila...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu...nimeona nitupie hii issue yangu humu jukwaani kwani naamini JF kuna kusanyiko la wajuvi wa mambo mengi hivyo naamini nitapata suluhisho. Nimekuwa kwenye hii biashara ya kuprocess...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naulizia wap naweza pata soko la madini ya rodlite na yanauzwa bei gan
0 Reactions
11 Replies
16K Views
Unajua najiuliza sana. Zamani, enzi za Nyerere na Mwinyi ambapo uchumi ulikuwa mdogo sana, bado tulikuwa na mashirika makubwa ya ndege ya kimataifa yakija na ndege zao hapa Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nipo kijijini week ya pili hii. nilikuwa nataka kununua bidhaa flani ya nafaka. ila kitu ambacho kinanipa shida ni kuwa upimaji wa watu wa huku unasumbua. mfano nataka kununua ulezi wao hawapimi...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao. Jinsi ya kujiunga Jinsi ya kuifanya Jinsi ya kupata connection Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara Rgds Uduzungwa
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nani ana takwimu za kiasi gani cha mapato kilipotea kwa maduka na biashara kufunguliwa saa 4 asubuhi kila Jumamosi Dar es Salaam kwa miaka 2? Nini adhali za kiuchumi kwa wafanyabiashara wakubwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina idea ndogo tu ya biashara inayoweza kutuingizia 500,000/= kwa kuanza tu Kwa mwezi then hadi 800,000/= tukiiboresha mbeleni huko. Mimi naishi DSM ila nasoma Dodoma, idea hii dhumuni langu...
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Poleni na majukumu! Nahitaji blender isiyotumia umeme..badala yake inatumia solar! Je wapi naweza kupata? Naomben msaada wenu
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndege mpya ya ATCL ya Dreamliner, inatarajiwa kuanza safari zake za tarehe 29 Julai 2018 kwenda Mwanza na KLM kwa kishindo baada ya tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018. Hongera...
7 Reactions
248 Replies
34K Views
Wakuu habari zenu... Nataka kufungua kampuni ambayo itachangia sana kupunguza makali ya ukosefu wa ajira nchini Tanzania. Tatizo ni kwamba sina hata dala mfukoni. Sitaki kushare idea hapa ila...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama upo Dodoma cheki Na 0712-193505
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Freezer ya kisasa imetumika mwezi mmoja tu inauzwa UBUNGO Kibangu Dar es Salaam, ina teknolojia ya fast freezing, unaweza kugandisha au kutumia kawaida kama friji, ni size ya kati ina uwezo wa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu, Kwa anayeuza battery ya PC anichek PM PC yangu ni HP elite 8440
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MLIPU inch 21 flat screen IPO Dodoma cheki 0712-193505
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Shida ipo wapi mbona serekali imekaa kimya haitoi tamko lolote kuhusu huu mradi maana tunapata tabu kuna shida gani katika hili?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habarini?naombeni ushauri wa kufanya biashara ya mahindi kutoka mbeya mpaka mwanza. Ni hatua zipi za kiserikali natakiwa kuzifuata ili niweze kupata kibali cha biashara iyo. Pia mwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…