Funguka cheifNaomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.
Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara
Rgds
Uduzungwa
Hivi unajua kua namna ya unavyojieleza unaweza sababisha upatiwe msaada au ukaukosa? [emoji15]Naomba kupata maelezo kuhusu biashara ya kwenye mitandao.
Jinsi ya kujiunga
Jinsi ya kuifanya
Jinsi ya kupata connection
Mitandao ipi inaeleze kuhusu hii biashara
Rgds
Uduzungwa