Afsa TRA mnaona watu wamejazana wanaomba kufunga TIN zao kwa kuwa biashara hamna nyie at a kuangalia jinsi gani ya kuwapunguzia kodi ata wawe wanaleta kidogo hamna.alafu mnasema hapa kazi tu!!kazi...
Habari wana Jf natumaini kama kichwa kinavyojieleza kwa wewe ulie maeneo ya moshi na unahitaji kutengeneza hera hapo ulipo bila jasho basi changamkia mchongo huu.
Mimi ni mfanyabiashara...
Ndugu zangu Bajaj mmeingia cha kike kujidai wa kishua kujichanganya kwa mabepari UBER hela hiyo hiyo ununue Smartphone, bundle, powerbank, 25% ya UBER, airtime ya kumpigia abiria ukifika alipo...
Habari ndugu zangu,
Naomba kujua kama kuna kampuni inayosafirisha mizigo kutokea south Africa to DSM Tanzania.
Kama kuna mtu anajua naomba anijulishe tafadhari.
NB:Kama unawaza wizi wizi kaa...
Habari wakuu,
Mimi ni mfanyabiasha, hivi sasa nimepata soko la bidhaa zangu za nguo huko Namibia.
Naombeni kufahamu njia rahisi za kusafirisha nguo kupeleka Namibia. DHL/FEDEX nk ni gharama...
Akizungumza na Nipashe iliyotaka kupata ufafanuzi juu ya huduma hiyo jana, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tuli Mwambapa, alisema kiwango cha chini cha mikopo hiyo ni...
Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za makusudi ili kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ili kuwekeza katika viwanda. Tumeshuhudia mikutano na warsha nyingi zikijadili namna ya...
Habarini .
Surely Leo nahitaji majibu kwa wabobezi,
Nimechagua gari be foward akilini nimechagua kununua gari through PayPal .
Na ufafanua.
Nahitaji sana kuelewesha also niendelee kununua vitu...
Kama unataka kufanya biashara na Botswana tafadhali ni PM ili tuweze kuwasiliana
kuna biashara nyingi huko Tanzania za kuleta huku
kama una fedha na ungehitaji kutengeneza fedha nipo tayari...
Kwanza kabisa natoa rambi rambi zangu kwa hao watu zaidi ya 224 waliofariki hapo mv nyerere ilipozama. Mimi kaa mtu ambae anajua mungu wa kweli wa bibilia ,
Sitaweza kamwe kusema hio ilikuwa...
Ambae anataarifa kuhusu ongezeko la thamani la fedha katika soko la hisa mpaka sahivi anijuze, thamani zikoje kila nchi ukikompea na shilingi yetu ya tanzania,
Ahsanteni sana na karibuni kwa...
wakuu habari zenu mimi mfanyabiashara wa viatu vya kike tatizo lilionitokea hili mteja alikopa viatu vya elfu kumi tano akalipa akabakiza elfu mbili sasa akaja tena dukani akaomba kukopa mkoba...
Habari zenu wanajamvi?
Kuna bidhaa nimeona kwenye mtandaa wa alibaba nataka kuiagiza, lakn nata kujua cost zipote kutoa bidhaa huko kuja Tanzania
Bidhaa yenyewe ipo hivi
Inauzwa usd 135
Ina...
GDP is like a speedometer: it tells you whether your economy is going faster or slower. As in cars, a speedometer is useful but doesn’t tell you everything you want to know. For example, it won’t...
Ref my previous post
Namshukuru mwenyezi Mungu muumba wq mbingu na ardhi kwa pumzi na afya njema aliyonijaalia
ilinichukua miaka mitano na nusu kuacha kazi ya serikalini nashukuru Mungu kwa...
Za jioni wandugu, naomba tushirikiane kuwaonea huruma wakulima mazao yanashuka bei ilhali pembejeo bei iko juu. Mliokaribu na wanasiasa washitueni 2020 sio mbali
Supermarkerts/Retailers wakubwa mashariki na kusini mwa Afrika mara kadhaa zimeshindwa kujiendesha ndani ya Tanzania. Shoprite, Nakumatt na Uchumi ni mifano.
Na supermarkets ndogo/uwezo wa kati...
Hamjambo wadau na watafutaji wa pesa,
Mimi binafsi nilifungua biashara yangu ya kwanza nilipokuwa mwanafunzi wa sekondari ambayo ilikuwa ya duka dogo la rejareja ila biashara hii ilikufa...