Wana jamvi, heshima kwenu! Kwa wale wenye biashara binafsi au kampuni, inapotokea umeshinda zabuni/mradi wa serikali ambao hauna advance payment; ni njia gani unatumia kupata fedha za kuendesha...
Ndugu zangu salamu ziwafikie,
Nimekuwa nasoma mada mbalimbali hapa jukwaani, wiki hii imetrend mada ya dada wa Mwanza anayeuza makande. Wengi wamemsifia na kumpongeza kwa uthubutu wake, kundi la...
Kukopa sherehe kulipa matanga. Ukiwa katika harakati za kukopa ni vizuri ukafikiri kwa makini(think twice) kuna maswali ya kujiuliza kabla ya kukopa
-reasons za kukopa
-riba
-muda wa marejesho...
Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa...
TANZANIA ni nchi yenye rasilimali nyingi na zenye tija kwa taifa kama zitavunwa kwa njia endelevu kupitia mikataba yenye tija baina ya Tanzania na kampuni za kimataifa zinazomiliki teknolojia na...
Kuanzia madawa, spea za magari, huduma mbambali mbali na bidhaa kadhaa wa kadhaa, huwa inasemwa vinapatikana Nairobi. Kama mtu umewahi kuuguliwa na Mgonjwa wako kufikia ngazi ya rufaa ya Kitaifa...
Ni jambo la faraja sana kwa mkulima wa MITI kusikia kuwa miti ya mikaratusi/milingoti inahitajika kwa ajili ya kutengenezea plywood. Uhitaji wa mti wa mkaratusi ni mkubwa sana kwa sasa katika...
Heshima kwenu,.
Kama kichwa kinavyosomeka, nina ombi kwa yeyote anayeweza kuguswa anisaidie mtaji kwa njia ya kufanya kazi ya pamoja kwenye kilimo au ufugaji, hasa nyanya na kuku, kipaumbele...
Wasalaam wana Jf,
Ndugu zangu nina ombi kwenu hasa kwa anayefahamu uwepo ama (Viability) ya hii biashara ya ngozi, nimehamasika sana
kusindika ngozi ikiwa ni njia moja wapo ya kuiongezea dhamani...
Habarini wanaJF, naombeni msaada hapo nilikuwa nafanya application ya kusajili jina la biashara ila nilipofika hapo ikaandika hivyo na kila napoclick proceed bado inaaniletea hayo maneno TRY LOAD...
Wakuu habari za jioni, nimepata gari huku Malawi kwa bei ya kutupa ni rahisi nikionanisha na bei za nyumbani Tanzania.
Nataka kuinunua ina namba za usajili za hapa Malawi je itanigharimu kiasi...
Ukiona hiyo System ya Brela ilivyopambwa na kuandikwa vitu vya maana.... Unaweza kufikiria kuwa vilivyomo ndani vina akili sana kumbe Uozo mtupu.
Uncle Magu pitia pale Brela kumbe unatupiwa lawama...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza uhamasishaji wa kuwavutia Wawekezaji watakaosaidia kuwapeleka watalii katika maeneo ya Ukanda wa Ziwa baada ya Serikali hiyo...
Habari zenu wakuu..
Wakuu nisaidieni namna ya kupunguza kodi tra huko maana kwa kodi hii niliyoletea mawiwili either nipate hasara au niususe mzigo bandarini hapo hapo.
Nafahamu huku JF kuna...
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS) umefunga mtambo wa kuchakata asali wilayani Manyoni mkoani Singida.
Akizungumza jana Machi 14,2019 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano TFS Tulizo Kilaga...
Habari wadau,nahitaji kujua vigezo na masharti ya benki zetu kwny huduma hii ya mkopo wa kununua nyumba,kujenga su kumalizia,nimejaribu kugoogle cjapata.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app