Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500 Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 =...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Msaada ni aina gani ya biashara nayo weza kuanzisha chuoni na ikanipa faida.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi. Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
wakuu nina kimgahawa cha kizushi napikaga chakula. leo mwezi wa ramadhani umeanza na waumini wengi wa kiislam wanafunga mchana hawali. nahisi kabisa kabiashara kangu katadhoofika. au mnasemaje wakuu?
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kesho naenda kwa afisa elimu akanipe japo shule nikanivolontie biashara Iko ila nahitaji niongeze uwanja wa pesa. NINA DEGREE YA EDUCATION NATAKA NIKAOMBE KAZI SERIKALINI. Tatizo ni kumpata...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
1. Liquidity 2. Asset 3. Bond 4. Liability 5. Equity
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa. Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima. Wekeni...
5 Reactions
130 Replies
18K Views
Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habarini wakuu ,, kama nilivotangulia kusema hapo juu ,, je inawezekana kukopa kwa benki zaidi ya moja kwa wakati mmoja?? , msaada please
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza,,,naomba kufahamishwa kwa wazoefu na wanaofanya hii biashara,,ni maeneo gani kwa Dar naweza kupata bidhaa kama ream paers,peni na couterbook kwa bei ya jumla. Mpaka sasa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau kwa Mara nyingine salaam. Nahitaji kufanya biashara ya kuuza bidhaa za stationary kwa bei ya jumla, Kabla ya kuanza nataka kwanza nisafiri nchini China nifanye survey ya bidhaa hiyo na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Anatafutwa muuzaji wa duka la dawa muhimu mwanza maeneo ya usagara kwa anaehitaji kazi 0689636330.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wandugu; Nahitaji Mkopo wa shilingi milioni kumi tu za Kitanzania. Kwa ambaye anaweza nisaidie tafadhali njoo PM Asante
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf, naomba kufahamu kwa wale waliowahi kununua laini za uwakala kama tigo pesa na mpesa zilizotumika ama zimesajiliwa na majina mengine kuna changamoto zozote zimewahi kuwakuta kwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za...
6 Reactions
32 Replies
14K Views
Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Kuuza maji kwa walioko dsm kuanzia kimara,ubungo tabata na maeneo mengine mengi maji ni shida Unafanyaje? Kama una mtaji na eneo unaweza kuchima kisima na kuanza kuuza maji, pia kama huna...
35 Reactions
107 Replies
21K Views
Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa. Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira...
11 Reactions
158 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…