Juzi katika pitapita zangu ktk maonyesho ya kilimo nilikutana na taasisi hii ya PASS kuwa wanajihushisha na mikopo kwa mkulima hivyo kwa kuwa benk nyingi hazimpi mkopo mkulima ila hawa...
Kwanza niseme hapo Nyuma tusha wahi anzisha ila haikuchukua hata miezi 3 ikafa na watu wakagawana mbao.
SACCOS
Saccos kwanza ambayo ipo kwenye kundi au mfumo wa ASCA huanzishwa na wanachama wenye...
Wakuu habari?
Natafuta partner ambae tutashirikiana kuandaa kazi za business plan kwa kufungua ofisi kwa hapa Dar Essay Salaam.
Kwa atakaekuwa tayari aje pm tuyajenge
Heshima yenu wakuu. Niko katika kufanya utafiti wa kampuni nzuri na za kuaminika ambazo zinatumika kuagiza magari nje kama Japanese Vehicles...Kama kuna yoyote mwenye uzoefu kuhusu anisaidie...
Wadau habarini ya shughuli tafadhali naomba kujuzwa ni njia gani rahisi na kwa haraka endapo ukanunua bidhaa au ukapewa kwa nchi za ulaya na iweze kukufikia hapa bongo kwa njia rahisi..
Je kwa...
Salam wana JF
Nimekuwa nikiugulia maumivu ya makato ya mtandao wa voda ambayo yanepanda kimya kimya na sijui kama ni kwa bsraka za tume ya maeasiliano au tunalipia zile faini walizotozwa.
Mfano...
Amendments to the Companies Act, Copyright & Neighboring Rights Act, Films and Stage Plays Act, Non-Governmental Organizations Act, Societies Act, Statistics Act, Tanzania Shipping Agencies Act...
Wanabodi,
Kuna hili nimelishuhudia kwenye usafiri wetu wa anga wa kimataifa, ndio maana nauliza ni tunaibiwa, au tunasaidiwa kwa sababu wenyewe hatuwezi?.
Kwenye usafiri huu wa kimataifa, kila...
Wapendwa habari zenu.
Wana jamii nlikua naomba elimu zaidi kuhusu CIF AND FOB,,tofauti yake hasa ni ipi?
Na je nkiagizia gari,,miamala ya kibenki naifanya vipi?
Ndugu zangu nipoo morogoro nataka kwenda dsm kununua bei za mifuko ya kichina ya kwende sokoni na safari ndogo ndogo
Kama ilivyoo kwenye picha nilikuwa naomba kujua bei ya belo lake bei gani na...
Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode.
Nawasilisha
Habari wakuu...
Leo katika pitapita zangu Mjini Dar es Salaam nikakumbuka Yale Mabango ya Neel Salt yalivokuwa yametapakaa Mji mzima kila barabara wakitangaza Chumvi hiyo,
Kwenye TV nako...
Habari za hapa.
Leo nimeona jambo (kwa upande wangu naliona kama kero/ tatizo/ shida/ usumbufu).
Nilikuwa na ujitaji wa Statement ya mpesa, nikaingia online kuona kama naweza ipata nikakosa...
Kama kuna mtu yeyote anauza kiwanja mitaa ya kimara sehemu ndoogo tu ya kujenga kajumba kadogo tu kakuanzia maisha, Ni Pm kuna ndugu yangu Natalia
Price isiozidi 3mil, PM
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo...