Kuanzisha SACCOS kwa kupitia JamiiForums ni ngumu mno

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Kwanza niseme hapo Nyuma tusha wahi anzisha ila haikuchukua hata miezi 3 ikafa na watu wakagawana mbao.

SACCOS
Saccos kwanza ambayo ipo kwenye kundi au mfumo wa ASCA huanzishwa na wanachama wenye common goal lazima kuna vitu wanavyo share pysicaly.

MFANO
Kuna mashirika ya Umma kama TANESCO sijui TANAPA mara Bandari na kadhalika wana Saccos zao.

Wale watu wana share kitu kimoja kikuu nacho ni kwamba wao ni wafanyakazi wa shirika mfano TANESCO. so wanajuana wana share common goal.

Kuna SACCOS utasikia labda ya Wachaga wanao ishi Mtawara hawa wana share somothing in common.

Mbali ya kuwa wao wanatokea my be Machame ila pia wote wanaishi Mtwara.

Kuna SACCOS za wazalisha maziwa wa sehemu fulani au walima Mpunga wa seuemu fulani au wafuga kuku wa sehemu fulani.

Hao wote wana share common goal kuna vitu tu piga ua galagaza wana share ndo vinavyo waunganisha.

JAMIIFORUM.
Humu watu tunakutana kwa story na kupashana habari, tuna tumia majina feki ni wachache mno verified.

Ukitafuta verfied ni wachache sana hawa ni kwamba unaweza watafuta na ukawapata ingawa nao sio kigezo pia cha uaminifu make kuwa verfied sio hoja sana.

Humu kuna watu kutoka Tanga, Lindi,Kigoma, Mara kule Tarime, Karatu Arusha Mbulu Manyara, Tabora huko Usikonge, Shinyanga, Mwanza, Biharamulo, Kakonko Kigoma kuna Dar yenyewe ba kuna Dodoma yenyewe na kadhalika na kadhalika.

Hawa watu kusema waanzishe SACCOS ni kudanganyana mchana kweupe.

Hawa watu kwanza wako mbali mbali sana hiyo moja,hawana wacho share Pysicaly.

Lazima tuwe na tunacho share yaani Tangible kitu ambacho hakipo hapa Jf.

Humu watu wanatafutana kama swala na Simba.

USHAURI SASA.

Optional iliopo ni kwamba kupitia Jamiiforum watu wanaweza tafutana kwa maeneo yao

Mfano;
Watu wa Wilaya ya Mikumi walioko humu wanaweza Organise na wakakutana Mikumi kwao huko na wakafanya somethig.

Watu waliopo Kasulu Kigoma kupitia Jf wanaweza ji mobilize kule Kasulu na wakafanya something.

Ila jamani kusema mtu yuko Kasulu mwingine Tangana mwingine Hamanga Arusha na mwingine Dar kwamba waunde SACCOS ni kudanganyana mchana kweupe.

USHAURI WA PILI
Kuna Software niliona sio Tanzania lakini ambapo saccos inaweza jiendesha na wanachama wakawa wanapewa hadi mikopo bila ya wao kukutana.
Wana oparate online ila ni riska sana na oia lazima watu wajuane pysicaly kabla ya ku oparate online.

Ukienda nchi kama Kenya wana Saccos nyingi nazani kuliko nchi yoyote ile Duniani ila ukiangalia zile saccos wana share something

Inahitajika Model ta kipeker kabisa kurub SACCOS kwa mazingira ya humu ila kwa Model zs kawaida tunazo zijua sio kitu rahisi.

Ni hayo tu
 
Huko mbona mbali sana.

Enzi hizo JF haina miaka mingi in service Mada za humu ilikuwa ni namna gani wana JF tukutane tufahamiane tugonge Chears lakini haikuwai kufanikiwa
 
Mkuu zamani tulikuwa tunakutana sana hadi na Wakina Mello Founder na nakumbuka hadi Tshirt tulikuwa nazo na ikitokea msiba wa Jf members watu walikuwa wanapiga Tshirt za Jf.

Mambo yamebadilka sana na pia mijadals ya humu mingi isha kuwa ya kitoto sana tofauti na zamani hizo
Huko mbona mbali sana.

Enzi hizo JF haina miaka mingi in service Mada za humu ilikuwa ni namna gani wana JF tukutane tufahamiane tugonge Chears lakini haikuwai kufanikiwa
 
Back
Top Bottom