Habari wandugu najua kutakuwa na watu ambao wataongelea vibaya hili swala na kuwakatisha tamaa watu...lakini yote hiyo nimeshajiandaa kuyapokea Ila muhimu nachotaka nikuwafikishia ujumbe...
Habari wakuu,
Twende moja kwa moja katika wazo.
Kutokana na maeneo mengi ya Tanzania kukosa huduma ya umeme mtambo huu wa mashine ya kunyolea na pia kuchaji simu ambao unaweza kuhamishika...
Natafuta wauzaji wakubwa wa Computer za Jumla hapa Dar es salaam nahitaji kuchukua Mzigo mkubwa Mwenye namba zao naomba anisaidie pia na Ofisi zao zilipo
Habari!
Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikufundishe mbinu zakutumia ili uweze kutengeneza side income katika mtandao wa JF.
Hii post itakuwa maalumu kwa wote wanaohitaji kutengeneza pesa...
“WATU WATANIFIKIRIAJE?
Neno hili limeua ndoto za watu wengi sana. Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwenye mambo mengi kwa sababu ya neno
“WATU WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE?
Habarii
Sijui wazo langu ni lakijinga?? But nalileta kwenu kama mtaona linafaa..
First mm napenda sana sana kusoma vitabu vya aina yoyote bahati mbaya kila kitu ninachokisoma kipya hua natamani...
Habari wanajamiii wenzangu? Nataka kufungua account ambayo ntakua na deposit akiba ya pesa kila mwezi, sasa naombeni ushauri wenu kua bank ipi ni nzuri kwa kufanya hivyo?
Wandugu,
Zamani ilikuwa ni kimya kimya, lakini sasa kumekuwa na kelele za waziwazi kutoka katika kila upande wa muungano. Kila upande unalaumu upande mwingine. Kelele hizo zinahusu namna...
Katika gazeti la Daily News la 14/8/2019, nimefurahishwa na taarifa ya viwanda vinavyotumia gas kutoka TPDC kuongezeka kama hicho kiwanda cha Lodhia Steel industry.
Sasa kama wanasema katika...
Tanzanite ni madini yenye mchanganyiko wa rangi ya bluu na zambarau. Madini haya ni ya kipekee kwa Tanzania kwani hayana chanzo chochote duniani isispokuwa kile cha Mererani mjini Arusha...
Nahitaji kujua biashara ambayo hahitaji kuivest Pesa first only uwe na soko au wateja .In short napenda kuzijua biashara za Malikauli please anybody mwenye links au kuzifahamu hizo biashara please...
Serikali imeuagiza uongozi wa mkoa wa Tabora kuhakikisha mashamba makubwa ya tumbaku yanapimwa.
Akizungumza na viongozi wa mkoa wa Tabora leo Jumanne Agosti 13, 2019, Naibu Waziri wa Ardhi...
Habari za muda huu wakuu
Mimi nataka nianze biashara Fulani ya kutembeza bidhaa mtaani kama machinga, ili kuvutia wateja nikawa nawaza niwe natembea na mzani wa kupimia uzito na mashine ya kupima...
Habari za mchana huu!! Katika harakati za kutafuta maisha nimepata wazo la kufungua kiwanda cha vinywaji yaani Juice,soda katika taste tofauti tofauti... Kuhusu pesa ninazo (ila si za kuhonga...
Habari zenu wadau.
Hapa jijini kumekuwa na maduka mengi sana ya mavazi yenye ubora wa juu, kati na za kawaida sana.
Wengi wa wamiliki wanasafiri ama kuagiza toka nchi za china, Korea, hata...
Salute bosses!
Uzi huu nauandika mahususi kwaajili ya kupeana mbinu za biashara ulizotumia wakati unaanza biashara yako hadi ukafanikiwa.
Nafahamu hapa JF wapo wafanyabiashara wenye mafanikio...