Kwa kweli Pepsi wamejieleza vizuri sana eti hawawezi kubeba gharama zote peke yao kwa hiyo na sisi hatuwezi; wateja wetu inabidi tubebeane, tuchukuliane tulipe kodi wote kwa ustawi wa nchi yetu.
Ndugu wanajopo habari za siku nyingi na pilikapilika za kulijenga taifa letu la uchumi na viwanda .
Naomba mawaziri na manaibu mawaziri waliopo humu wajaribu kufuatilia kuna wananchi kanda ya...
Maneno hayo utasikia yakisemwa na kijana anayejiita mjasiriamali. Sio kujiita tu hata kwenye social networks zake anajiita entrepreneur.
Mtu anayeona tatizo kwenye jamii mfano scarcity ya maji...
Natafuta serious Partiner wa kufanya nae biashara ya Petrol Station. Nina kiwanja tayari chenye ukubwa wa sqm zaidi ya 3000,eneo lina future ya biashara kwa kuwa hakuna kituo cha mafuta maeneo...
Mambo vipi?
Ni siku nyingine tena tunakutana katika darasa la leo ambapo siku ya leo ningependa ni-share mambo saba ninayoamini kwa dhati kabisa iwapo utafuata basi utatengeneza pesa na kamwe...
Biashara ya kutembeza mtaani hasa bidhaa za wanawake Ina faida kubwa sana
Je changamoto zipi unakutana nazo
Me binafsi mwanamke anakuambia nivalishe kiatu then anakuuliza wewe nimependeza
Dada...
Somo jingine kwa nini bei ya mabati inatofautiana kiwanda kimoja na kingine.
1.material
Ni kawaida kuwa kama unanunua material kwa bei ya juuu itapelekea uzalishaji kuwa juu na bidhaa ya mwisho...
A seasoned economist and academic, Professor Joseph Semboja, has been elected Chairman of the Board of Directors of the National Microfinance Bank (NMB), effective November 5, this year...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama amefungua warsha ya siku moja ya majadiliano ya wadau kuhusu...
Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa...
BALOZI wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema kuanzishwa kwa safari za ndege kutoka Dar es Salaam hadi China kutasaidia kuongeza utalii kwa kiwango kikubwa kwa kuwa Wachina wanasubiri...
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) mpaka sasa imekwisha toa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 141.3 katika miradi mbalimbali ya kilimo, ufugaji na uvuvi. Mikopo hiyo ni sawa na...
Dalili zinaonyesha kwamba hali sio hali kwenye mali zetu hasa ndege zinazofanya safari nje ya nchi
Tjue kwamba tuna kesi zifuatazo kwenye mahakama za usuruhishi wa biashara..
Symbion Power...
Wakuu habar za muda huu
Nina project naomba niwashilikishe ndugu zangu, ambapo mwisho wa siku tutapata ajira sisi sote, project inahusu utengenezaji na uandaaji wa program za masomo mbali mbali...
Kwa kawaida makampuni haya yanauza airtime za TV zao kwa packages mfano DSTV family, compact, premium etc... ikiwa na idadi ya channels kulingana na aina ya package.
Kiuhalisia mtu huwezi...
Biashara ya ndege hata Matajiri wakubwa wa Dunia wanaogooa mno kuwekeza hapo. Na watalaamu wa Biashara wanakuambia ndo biashara ngumu kabisa na hata haya mashirikia makubwa makubwa wanapigwa mno...
SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) leo tarehe 24 Agosti 2019 limetangaza mabadiliko ya ratiba zake za safari za ndege.
ATCL imetangaza mabadiliko hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa...
hello JFs, ninahitaji muongozo na ushauri katika biashara ya video keno.Nini cha kuwa nacho, mtaji, faida, hasara na kila kitu kinachohusiana na biashara hiyo.Ninaomba ushauri.