Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

MTANZANIA mwenzangu, najua unajua kuwa siku za karibuni nchi za Tanzania na Uganda zinatarajia kufanya Kongamano la kibiashara la pamoja ambalo litakuwa ni mara ya kwanza kufanyika nchini kwetu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
jmosi nakuja mwanza nakuja kutafuta frem nataka kufungua goli la phone accessories maeneo yA mwanza kuna kiasi kidogo nimepata nataka nisikichezee NAOMBA USHAURI KWA WAJANJA/WANAOIJUA VIZUR...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kwa walioko ughaibuni hasa Ulaya na America ,nahitaji soko la floor parquet (mbao za sakafu)
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Shamba la heka 2 linauzwa.Lipo maeneo ya chalinze kwa mwarabu,km 2 kutoka morogoro road 0769512418
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Mwamba baada ya kukichafua sana route ya dar arusha sasa wameamua kuaminisia makali yao na route yao ya zamani ya Dar mbeya tunduma kwakweli hawa jamaa wana mwezi mmoja tu ndani ya hii route ila...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Je hawa jamaa wanaozunguka K/koo na gari wakiuza flash zina nyimbo tofauti tofauti wanavibali au wamezilipia hizo nyimboo maana BASATA wangeanza na hawa jamaa na wachoma cd K/koo kama Kweli wako...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop Dell Latitude E6220 Core i5 2nd Gen Processor 2.50 GHz (4 CPUs) Ram 4GB HDD 210 No Battery Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi Fifa 18 Fifa 19...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda wa miaka minne nimekaa na tatizo hili sasa ninadhani ni wakati muafaka wa kuomba ushauri!! Mimi ninafanya kazi inayoniingizia kwa mwezi sh.700,000/= tasilimu.Sijajenga nyumba ila nina...
5 Reactions
84 Replies
54K Views
Do you want to start any of the following 65 businesses ? Tyres Retail - New Real Estate Agency - 42 pages Executive Barber Shop - 42pgs Petrol Station (Independent) - 47pgs Motorcycle Spare...
1 Reactions
0 Replies
925 Views
Wadau habari za ujenzi wa taifa. Naombeni wataalamu wa mambo ya roofing na material yanayohusiana na roofing mnisaidie mambo yafuatayo; 1. Aina mbalimbali za roofing material, suitability na...
0 Reactions
36 Replies
21K Views
Katika kutatua matatizo ya kilimo na wanunuzi wa tumbaku Bashe hapa umeweza sana kumsaidia Raisi, hii ni kama mambo uliyoyasema yatatekelezwa haraka. Kikao na kampuni nne zinazonunua tumbaku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari naulizia kwa hapa Dar Es Salaam ni wapi naweza nunua vitabu (si vya shule) kwa bei ya jumla?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwetu sisi matajiiri ila mimi sisikii vizuri, je nifanye biashara ipi kwa namna gani? Heloo wanachama, kama kichwa cha habari kinavyoseleza, Nlibahatika kuzaliwa kwenye familia ambayo angalau...
4 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu habari Wakati wa nane nane dodoma mwaka huu kulikua na wauzaji wa incubator ndogo ya mayai 8 kama sijakosea na walikua wanauza 80,000 tafadhali kama kuna supplier humu wa hizo incubator au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello! Naomba kuuliza vijana mlio na uwezo wa kuunda magari au pikipiki, hivi hamuwezi kuunda hivyo vyombo vya moto kwa bajeti ndogo mfano Tsh.500,000/= mpaka Tsh.2,000,000/= hivi?? Undeni bwana...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Sisi ni wanachama na tumeambiwa kuna nafasiwya masoko ya mazao. Msimu uliopita baada ya India kusitisha manunuzi ya mbaazi mazao yetu yalikosa soko kabisa. Mbaazi ziliozea mashambani, licha ya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
wana JF poleni na majukumu. napenda kujua mzani wa duka la rejareja A.K.A duka la mangi huwa inauzwa kiasi gani cha pesa???
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nimekuwa nasafiri kwa miaka kumi sasa na KLM, Emirates na Turkish airways. Asilimia zaidi ya 90% hasa KLM wanashukia KIA lakini nipadogo sana Vilevile hakuna Hotel karibu. Kuna viwanja vingi pale...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau natafuta mteja nauza hisa zangu za voda nahisa elf 5000 nauza zote kama mteja tuwasiliane kwanamba 0683 954 738 ile namba yakwanza nilikosea hii ndo sahihi kwamasiliano
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…