Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika?
Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikijifunza na kujituma kwenye masuala ya technology na software development, na katika harakati hizo nimeweza kutengeneza platform inayoitwa Taifika.
Kwa sasa...
Ethiopia Sasa ndio Nchi yenye Uchumi Mkubwa zaidi Kwa Kanda ya Afrika Mashariki na pembe ya Afrika baada ya kubadili mwaka kukokotoa Uchumi kubadilishwa.
Hesabu hizo zimeipaisha Ethiopia Hadi...
Kwa wenyeji wa Arusha na Moshi, karibuni mniunge mkono mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama, chotara na kienyeji napatikana Moshi wilaya ya hai Bomang’ombe, naomba mniungishe kuku wa nyama(broiler) na...
Kwa Viongozi na Mamlaka Husika,
Ujumbe huu ninauandika kwa masikitiko makubwa na kwa niaba ya jamii ya waathirika wa eneo la Misugusugu, Kibaha, ukiwa na lengo la kuomba msaada wa haraka kutoka...
Habari wana jukwaa
Ikiwa kuna wakala wa bolt humu naomba anisaidie ku review vehicle yangu na kuipitisha au anishauri nifanye marekebisho pale yatakapohitajika. Usafiri huu nyaraka zake zote zipo...
https://youtu.be/3AfHjKilsoU
Fikiria mfanyabiashara anayehitaji dola 1,000 kulipia bidhaa kutoka nje. Kwa kiwango cha Sh 2,460 kwa dola, anahitaji Sh 2,460,000. Kiwango kikibadilika kuwa Sh...
1. UTANGULIZI
Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za...
Get the core ideas great books in short animated videos summaries, one to fifteen minutes long.
Also rich retelling of dramatic stories about Africa.
See below.
Each video summary costs only...
Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo...
shelves za madukani.
maduka ya simu,vipodozi,vifaa vya umeme, supermarkets. duka la dawa.
tupe oda boss tuje kutengeneza shelves za duka lako.
tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi...
Nataka kufanya Biashara ya Stationary
Ni mambo gani napaswa kutafahamu kuhusu Biashara hii?
Vifaa Nilivyonavyo mpaka sasa ni Printer (Canon zile ndogo), Lamination Machine na Pc
Njee ya hivyo...
Wataalam wa hi sector , naomba kujua matatizo Makubwa munayopitia kwenye hii biashara
Niliyogundua ni dereva siyo muaminifu,gari kuharibika safarini ,najua yapo mengi ila nataka kujua zaidi
Ninawazo la biashara kwa dar es salaam maeneo ya mbezi, naishi mkoa wa dar es salaam, mbezi mwisho karibia...mtaji 10M kuanzia nicheki 0756704145 whatsapp, tufanye kazi
🌱 4IN1 SOIL METER - KIPIMO CHA UDONGO KISASA 🌱
Bustani yako inastahili bora zaidi!
Unalima mboga, maua au miche lakini haioti vizuri? Siri ipo kwenye UDONGO!
Kifaa hiki kimoja kinakupa majibu 4...
Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri hadi kufikia mwaka 2025 kwa kuangalia pato la mkoa husika kwa mujibu wa Ripoti ya BoT ya Utendaji wa Kiuchumi ya Juni 2026 (Consolidated Zonal Economic...
1. UTANGULIZI
Katika safari ya kujenga maisha bora ya kifedha, ni muhimu kwa kila mwananchi kuelewa njia mbalimbali za kuweka akiba na kuwekeza. Mara nyingi watu wanapozungumzia uwekezaji katika...