Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wanajamvi! Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu pendwa katika kufikia ndoto ya Tanzania ya uchumi wa kati. Ninaomba kufahamishwa kuhusu hizo Ishu za gari za mkataba...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wengi wetu inapofika mwisho wa mwaka hufikiria kuanza upya na kurekebisha sehemu tulizokosea ili mwaka unaofuata uwe wa mafanikio zaidi ya ule unaoishia ama kupita lakini malengo yetu huwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zanguni,heri ya mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kama maada hapo juu inavojieleza. Nahtaji serious partners kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa mayai kibiashara.Mahali pa ufugaji ni mkoani Iringa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari Wadau Kwa wafanyabiashara au wajasiriamali wanaohitaji mkopo na wanapatikana Dar es Salaam Mikopo ipo tuwasiliane kwa 0693 347206 Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kichuri (African Sauce) ni kiungo kitamu cha nyama haijawahi kutokea. Unaweza kula nyama choma mbuzi mzima. Awali nilidhani kichuri inaliwa tu kanda ya ziwa hasa Mara ila baada ya kutembelea...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nafikiria kufungua biashara ya kitaaluma (professional consultation firm).Target ya wateja wagu ni wajasiriamali wadogo na wa kati wanaojihusisha keenye mnyororo wa chakula (food supply...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Siku hizi biashara ya kuuza matofali imeshamiri sana kutokana na watu wengi kununua mashine za kutumia umeme katika kuchanganya cement na mchanga. Tatizo ni kuwa wafanyabiashara ya matofali wote...
3 Reactions
85 Replies
28K Views
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha ! Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini. Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza...
2 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari wadau. Kama nilivyoandika kwenye kichwa hapo juu naomba kufahamishwa maana neno inc kama lilivyotumika kwenye kampuni ya Apple (Apple inc) na sehemu zingine.
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kama ambavyo nimeandika hapo juu, nilipata Neema ya kufungua kampuni ambayo imepata usajili mwaka huu, ina vibali vyote. Nahitaji mtu aliye tayali ili kufanya kazi pamoja. Kampuni ni mpya na ina...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Mimi ni mjasiriamali mdogo lakini nilikuwa nataka kushare something with the audience. Naamini sisi wajasiriamali wadogo huwa tunapita changamoto nyingi sana katika kufikia lengo la biashara...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF ni matumaini mu wazima mnaendelea na michakato ya maisha. Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nina mpango wa kujiunga na hii ishu ya Online Marketing kwani nimebahatika...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Jamani naomba msaada wa kujua online traderrs kama Alibaba, Kikuu na zinginezo, je kuna mtu ameshawahi fanya kununua bidhaa yoyote na je ni kweli zinafanya kazi kwa uaminifu maana kuna kitu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa mfatiliaji sana , wa mafunzo ya ujasiriamali. Watu wengi wanajiunga wanasoma na kuhitimu wanapokuja kwenye uhalisia wa kuingia kazini sehemu kubwa wanafeli. Wanaanza vizuri wiki mbili...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ili treni yetu ya kutoka dar kwenda Moshi iwe na tija, nashauri ikarabatiwe angalao ifikie kiwango cha kutembea masaa 10 tu. Tofauti na hapo watu wataachana na usafiri huo mapema sana. Angalao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwaka 2020 ndo huu hapa. Achana na ya 2019. Umepiga hatua kubwa sana mpaka kufikia siku ya leo ukiwa mwenye siha njema. Kama umefanikiwa kuuona mwaka mpya basi ujue kwamba ulifanikiwa kula...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Leo natoka nizungumzie hofu na nafasi yake katika mafanikio.Sitaki kueleza maana ya mafanikio ingawa najua kabisa kwa wengi wetu kuna picha zinakuja kwenye akili zetu ambazo...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania recently established the Nyerere National Park, the largest national park in Africa. Nyerere is part of what is known as the Selous Game Reserve and covers an area of over 11,000 square...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je, ninapouza bidhaa kwa mfano simu au laptpop, nitatoa risiti ambayo atapewa mteja, je mteja bei ninayomtajia mteja niunganishe na VAT humohumo au wadau mnafanyaje?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom