Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !

Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.

Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.

Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.

Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.

Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.

Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.

Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?

Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?

Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,902
2,000
Ushauri wangu mkuu naomba tu usiache kazi....waweza Fanya biashara huku unapiga kazi....ndugu hiyo biashara kwa kuwa ni mwanzo inaweza kuwa ngumu ambapo kama umeacha kazi maisha yanaweza kuwa tough zaidi so fanya vyote mkuu...biashara ikikaa sawa ndo waweza hamia direct sasa...
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Pole sana mkuu ila naona hiyo pesa ndogo sana kuanza na kuacha kazi, Fanya kazi endelea kuwekeza angalau hata M2+ uwekeze kwenye mgahawa wa chakula na vinywaji, najua kwa dar vinalipa sana, ila hiyo hela ndogo kwa kuacha kazi.
Ahsante mkuu, ushauri wako Uko poa ila nafikiria M2 kwa haraka haraka itanichukua tena mkataba wa mwaka mzima.

Au ndo niendelee kuvumilia tu?
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Ahsante sana kwa maneno yako mazuri na faraja ndani yake!

Sasa mkuu kazi na biashara ÷ muda inakuwa ngumu maana naingia 1:30 asubuhi - 9:30 alasiri.

Mfano sasa biashara gani ambayo naweza kuifanya kwa kufix muda huo.?
Ushauri wangu mkuu naomba tu usiache kazi....waweza Fanya biashara huku unapiga kazi....ndugu hiyo biashara kwa kuwa ni mwanzo inaweza kuwa ngumu ambapo kama umeacha kazi maisha yanaweza kuwa tough zaidi so fanya vyote mkuu...biashara ikikaa sawa ndo waweza hamia direct sasa...
 
kelvin01

Member
Mar 19, 2018
48
125
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !

Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.

Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.

Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.

Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.

Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.

Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.

Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?

Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?

Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
Mkuu unawazo zuri ila maisha sasa yamebadilika cha msingi hicho kiasi ulicho nacho kwa ajili ya kuanzisha biashara endelea kusave coz kitakupa changamoto kubwa ukienda kichwa kichwa, so usiache kazi ila tuu fanya biashara ukiwa kazini na utakapoona mzunguko wa biashara unayofanya unafaida ndipo waweza kuquit ila sio kwa sasa maana bado mapema na inavoonesha hujawa na experience katika biashara vyakutosha.
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,843
2,000
Hiyo hela unayolipwa kiongozi ni nyingi mi nakushauri fikiria namna ya kusave.
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !

Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.

Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.

Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.

Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.

Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.

Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.

Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?

Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?

Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!
 
Bikini

JF-Expert Member
Oct 16, 2018
336
500
Kuwa tu mkweli kiongozi,ingekuwa unalipwa pesa hiyo hauwezi kushindwa kuimanage mpaka kufikia ndoto zako na kuwa na mtaji mkubwa.shida inakuja unakuta mtu mshahara Kama waKwako iwapo unapata kiasi iko unataka kuonekana Don kwa muda mfupi.
 
G8M8

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
433
500
Pesa hiyo ni nzuri Sema usiache kwa sasa tafuta ekari kama moja nje kidogo na dar es Salam kalime mboga mboga kama mchicha eneo liwe na source ya maji au ununue tank la maji mchicha weak 3 hadi 5 unavuna.. Ukiona maslahi mazuri unaacha kabisa kazi na lazima maslahi yatakuwa mazuri mboga mboga ni changamoto na inaliwa Sana miaka hii.. Karibu kwenye ujasiriamali
 
Mkuu, unaweza kuwa sawa sana ila niko Dar ,nimepanga ,nalipa umeme maji, nivae , nile, nisaidie wadogo zangu ,nauli, niweke akiba na matumizi ya ndani. !!!?

Basi nisaidie namna ya kuiweka akiba bila kuathiri mambo mengine ya mhimu mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Ahsante sana kiongozi umenena vzr sana !

Tena kwa mtaji wangu si itatosha kabisa au kwa uzoefu wako ni kama kiasi gani
Pesa hiyo ni nzuri Sema usiache kwa sasa tafuta ekari kama moja nje kidogo na dar es Salam kalime mboga mboga kama mchicha eneo liwe na source ya maji au ununue tank la maji mchicha weak 3 hadi 5 unavuna.. Ukiona maslahi mazuri unaacha kabisa kazi na lazima maslahi yatakuwa mazuri mboga mboga ni changamoto na inaliwa Sana miaka hii.. Karibu kwenye ujasiriamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G8M8

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
433
500
Manunuz ya mbegu haizidi elfu 30 na gharama labda kwenye kulima na kuandaa plus mazingira ya maji.. Kuandaa shamba ekari moja elfu hamsini hivi kulima kapori.. Miundombinu ya maji unaweza vuta maji au kununua matank tu hata 2.. Kilimo cha bustani siyo gharama Sana unaweza ku avoid cost kama utalima shamba mwenyewe... Na kama eneo utapata lenye Miundombinu ya maji note hiki kuliko cha bustani kinalipa hapo dsm ndio
Ahsante sana kiongozi umenena vzr sana !

Tena kwa mtaji wangu si itatosha kabisa au kwa uzoefu wako ni kama kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzuri kwa masoko.. Utapiga pesa utaitwa freemason mboga zilimwazo dar es Salam zinatoka kwenye mazingira hatarishi hivyo siyo nzuri kiafya zingatia maji yako yasiwe kama wale wa msimbaz.. Mchicha wako na Chinese uwe mzuri unao vutia..
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,843
2,000
Mkuu, ni kweli unaweza kuwa nyingi lakini inategemeana na majukumu mengine ya mhimu yasiyo kwepeka !

Utunzaji unakuwa mgumu hasa napifikiria kuongeza kiasi cha akiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna msemo unasema mafanikio yako huanzia pale visingizio vinapoisha tuu. Ndio maana kuna watu wanatoka kwenye umaskini wanakwenda kuwa Matajiri. Angalia namna ya servingi hata unaweza kufungua fixed account. Bila ya kuwa namna ya kujua management ya pesa hata ukipewa million mbili au hata 10 million kwa mwezi hazitakutosha.
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Kuna msemo unasema mafanikio yako huanzia pale visingizio vinapoisha tuu. Ndio maana kuna watu wanatoka kwenye umaskini wanakwenda kuwa Matajiri. Angalia namna ya servingi hata unaweza kufungua fixed account. Bila ya kuwa namna ya kujua management ya pesa hata ukipewa million mbili au hata 10 million kwa mwezi hazitakutosha.
Ahsante.mkuu
 
Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Manunuz ya mbegu haizidi elfu 30 na gharama labda kwenye kulima na kuandaa plus mazingira ya maji.. Kuandaa shamba ekari moja elfu hamsini hivi kulima kapori.. Miundombinu ya maji unaweza vuta maji au kununua matank tu hata 2.. Kilimo cha bustani siyo gharama Sana unaweza ku avoid cost kama utalima shamba mwenyewe... Na kama eneo utapata lenye Miundombinu ya maji note hiki kuliko cha bustani kinalipa hapo dsm ndio
Kuzuri kwa masoko.. Utapiga pesa utaitwa freemason mboga zilimwazo dar es Salam zinatoka kwenye mazingira hatarishi hivyo siyo nzuri kiafya zingatia maji yako yasiwe kama wale wa msimbaz.. Mchicha wako na Chinese uwe mzuri unao vutia..
Sawa sawa kiongozi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom